DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Deo Sanga ambaye ni Mbunge wa Makambako ni mtu ambaye amekuwa na misimamo ya kutetea viongozi wa nchi na kuwasifia mara kwa mara
Wakati wa utawala wa Magufuli, Sanga aliwahi kunukuliwa akiwa bungeni kama inavyoonekana kwenye video akisema kwamba anataka Magufuli aongezewe muda.
Kauli yake aliwahi kuisema mwaka 2019 na mwaka 2021.
Wakati Rais Samia ameingia madarakani, Mbunge huyo akiwa anaongea mbele ya kadamnasi alisema kuwa Rais Samia anagawa pesa nyingi kwenye miradi kitu ambacho kilishangaza watu wengi.