Pre GE2025Angalia Mpaka Mwisho: Hakika hatuhitaji watu kama D. Sanga kwenye Serikali na nchi yetu tunahitaji watu wenye uwezo wa Kujibu hoja na kutengeneza hoja
Deo Sanga ambaye ni Mbunge wa Makambako ni mtu ambaye amekuwa na misimamo ya kutetea viongozi wa nchi na kuwasifia mara kwa mara
Wakati wa utawala wa Magufuli, Sanga aliwahi kunukuliwa akiwa bungeni kama inavyoonekana kwenye video akisema kwamba anataka Magufuli aongezewe muda.
Kauli yake aliwahi kuisema mwaka 2019 na mwaka 2021.
Wakati Rais Samia ameingia madarakani, Mbunge huyo akiwa anaongea mbele ya kadamnasi alisema kuwa Rais Samia anagawa pesa nyingi kwenye miradi kitu ambacho kilishangaza watu wengi.
Nimesems kujibu Hoja na kutengeneza Hoja..
Katengeneza hoja Ya Kinafiki kwa sababu alipokuwepo magufuli alisifia na kusema hajawahi kuona na alipokuwepo samia alitamka maneno hayo hayo
Nimesems kujibu Hoja na kutengeneza Hoja..
Katengeneza hoja Ya Kinafiki kwa sababu alipokuwepo magufuli alisifia na kusema hajawahi kuona na alipokuwepo samia alitamka maneno hayo hayo
Hao ndio CCM sasa.
Nje ya mada:hivi dr.huwa unahudumia wagonjwa saa ngapi maana muda wote upo jf,hakuna kitu naogopa kama kuona wahudumu wa afya muda wote wapo mitandaoni.asante.
Hao ndio CCM sasa.
Nje ya mada:hivi dr.huwa unahudumia wagonjwa saa ngapi maana muda wote upo jf,hakuna kitu naogopa kama kuona wahudumu wa afya muda wote wapo mitandaoni.asante.
Ukiona Nimepost ujue Muda wa kupumzika Mkuu!
Leo Ni Siku ya Mapumziko..
Muda mwingi Huwa Tunafundisha Vyuoni na Muda mwingine tunatibu Mara nyingi tunatoa Maelekezo kwa Junior Dr na Junior Pediatrician tu..
Tumeshazeeka hivyo kazi wanafanya Vijana