Angalia mrembo huyu alivyonijibu, anafaa kweli huyu?

Vitz06

New Member
Joined
Jul 16, 2021
Posts
4
Reaction score
38
Angalia mrembo huyu alivyonijibu, anafaa kweli huyu?

Screenshot_20231027-132427.png
 
Unajieleza sana mzee

Kwa hayo majibu yake kama sio mlizinguana au ulimuhd hela hukumpa basi dem ameshakupanda kichwani

Mchane kwamba tabia hujaipenda hasipo badilika bofya NEXT

Kuna wanawake wasiopungua 1k wanasubiri watongozwe na wewe kabla hujafikwa na mauti
 
Pathetic,
Unaombwa 30,000 dunia nzima inajua. Kwanza 30,000 atanunua Nini maskini?
Wenzio wanahonga Land cruiser LC200 na hiyo Ni nyumba ndogo. Halafu wewe, kwa siku unatumia sh ngapi kwa matumizi yako binafsi?
Ningempata mwanamke anayeniomba kiwango kidogo Kama hicho ningemjengea nyumba mbili.
 
[emoji1][emoji1] Hali ya uchumi pia mnatofautian ko nibora tu ungekaa kmy tu kaka
 
Pathetic,
Unaombwa 30,000 dunia nzima inajua. Kwanza 30,000 atanunua Nini maskini?
Wenzio wanahonga Land cruiser LC200 na hiyo Ni nyumba ndogo. Halafu wewe, kwa siku unatumia sh ngapi kwa matumizi yako binafsi?
Ningempata mwanamke anayeniomba kiwango kidogo Kama hicho ningemjengea nyumba mbili.
Mkuu
Naomba elf 20…
 
Back
Top Bottom