Angalia mrembo huyu alivyonijibu, anafaa kweli huyu?

Pathetic,
Unaombwa 30,000 dunia nzima inajua. Kwanza 30,000 atanunua Nini maskini?
Wenzio wanahonga Land cruiser LC200 na hiyo Ni nyumba ndogo. Halafu wewe, kwa siku unatumia sh ngapi kwa matumizi yako binafsi?
Ningempata mwanamke anayeniomba kiwango kidogo Kama hicho ningemjengea nyumba mbili.
Wewe kweli😳😂
 
Mkuu Embezzler naona ndio anatafuta wakala sasa 😄😄
Kilicho nikwaza Ni huyu bwana mkubwa kulalamika Hadi kuutangazia uma kwamba kaombwa 30,000.
Hiyo ni Siri ya ndani Kati ya wapenzi. Kama huna muambie yeye Ni binadamu.
Hawa ndio wanawasema wapenzi wao mapungufu walionayo wapenzi wao especially Yale ya ndaani ndani kabisa.
Tunza heshima ya mpenzi mke.
 
Duh!! Kuna Watu hawajui kuomba hela kabisa yan.
Hela ndiyo zinaombwaga hivyo kirahisi?
Hata hajaitikia salamu?
kaka zetu mna shida 🤣🤣🤣🤣
Siyo kwamba akiambiwa Nimekumiss, maana yake anaombwa ngono?

She has to be exact.
 
Umeenda streiti to the point nae kafanya hivyo, shida iko wapi??
 
Kilicho nikwaza Ni huyu bwana mkubwa kulalamika Hadi kuutangazia uma kwamba kaombwa 30,000.
Hiyo ni Siri ya ndani Kati ya wapenzi. Kama huna muambie yeye Ni binadamu.
Hawa ndio wanawasema wapenzi wao mapungufu walionayo wapenzi wao especially Yale ya ndaani ndani kabisa.
Tunza heshima ya mpenzi mke.
Mkuu kuna wengine maokoto yao ni chini ya 30K
 
Kwanza unamiliki Simu Infinix Inayo support 3G Alafu unahonga Elfu 30 aisee.... Ni nani Alie turoga sisi wanaume hata kujiongeza tu hapo huwez mtu unamsalimia hata Salam hamna tayari naomba Hela Alfu mwamba unajitetea nitajitaidi Leo.

Kiufupi Demu alishakuona Zoba so anakutumia kama sehem ya ku solve shida zake.
Ushauri wangu acha Kuwa Mjinga jitafute kwanza Mbona madem wengi kwanza demu anayekuoenda hawez kukuomba Hela hivyo
 
Kwanini lakini nyie watu wa jf ni wakorofi 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom