Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Mdukue umjueHuyo debora ni he or she
joyce lomalisaHuyo debora ni he or she
Mkuu we acha Kuna watu watakuja hata kumlalamikia mama Samia maana watapagawa mbayaSimba ya next season sio poa.
Ni kama joyce lomalisa. πHuyo debora ni he or she
chama kamuweka pacome bench, chama na pacome ilikuwa mbingu na ardhiPacome ni mchezaji wa rede?
Pacome anakupa vitu vingi kuliko Chama. Pacome ana spidi, anakaba na kupora mipira na kuanzisha mashambulizi, anapunguza watu na kutoa pasi kwa usahihi.chama kamuweka pacome bench, chama na pacome ilikuwa mbingu na ardhi
Kwa hiyo Pacome haanzi?Yanga
1.Diarra
2.Yao
3.Kibabage
4.Bacca
5.Job
6.Aucho
7.Nzengeli
8.Mudathir
9.Dube
10.Aziz Ki
11.Chama
Simba
1.Ayoub
2.Kapombe
3.Tshabalala
4.Chamou Karaboue
5.Che Malone
6.Debora Mavambo
7.Mutale
8.Augustine Okejepha
9.Steven Mukwala
10.Jean Charles Ahoua
11.Kibu Denga
π π π
Kwa Simba, Kibu, Kapombe na Hussein wawili watapoteza nambaYanga
1.Diarra
2.Yao
3.Kibabage
4.Bacca
5.Job
6.Aucho
7.Nzengeli
8.Mudathir
9.Dube
10.Aziz Ki
11.Chama
Simba
1.Ayoub
2.Kapombe
3.Tshabalala
4.Chamou Karaboue
5.Che Malone
6.Debora Mavambo
7.Mutale
8.Augustine Okejepha
9.Steven Mukwala
10.Jean Charles Ahoua
11.Kibu Denga
π π π
Hakuna wa kumuweka benchi Pacome hapa Tanzania.chama kamuweka pacome bench, chama na pacome ilikuwa mbingu na ardhi
Kocha anampenda Max hawezi muweka benchi. Max anafanya kila kitu uwanjani tofauti na hao wengine.Kwa hiyo Pacome haanzi?
YANGA ITAKUWA HIVI:
1. Diara
2. Yao
3. Boca
4. Job
5. Bacca
6. Aucho
7. Ki
8. Pacome
9. Baleke
10. Chama
11. Dube