Angalia Picha hii halafu toa maoni yako

Angalia Picha hii halafu toa maoni yako

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Picha yenyewe hii hapa

Screenshot_2025-01-22-22-04-27-1.png
 
Huu mwaka ni mwisho wa mengi kwa sababu kinumerolojia unatawaliwa na namba tisa. Namba ambayo kwa kweli ni kumalizia Ili kuanza upya.
Mimi siyo mnajimu na wala siyo nabii ila mwaka huu tutayaona mengi yakifikia mwisho wake na mwaka 2026 tutaanza upya vitu vingi sana.
Mwakani ni mwaka wa utawala, tutayaona mengi mapya au yakianza upya katika tawala zetu.
 
Back
Top Bottom