Angalia picha ya Dunia ukiwa Sayari ya Mars

Angalia picha ya Dunia ukiwa Sayari ya Mars

... na ukubwa wote huu ukiwa outer space dunia is just a particle? Really mere particle if not a distant debris! The universe is really endless; hakika aliyeumba kike na kiume ni mjuvi wa yote!
Ndio maana mambo yote mwisho wa siku ni ubatili mtupu!!
 
Kuna mahali kwenye biblia inasema 'yeye( mungu) huitundika dunia pasipo na kitu'. Hakika mungu alijipanga sana kuumba ulimwengu
Kumbuka ulimwengu na vitu vyake muda waote viko katika mwendo. Huu mwendo unaweza kuutafsiri kama muanguko au mtanuko, na ni Kwa speed Kubwa sana, kutokea eneo la kati ya galaxy yetu iitwayo Milk Way, ipo Siku kutanuka huku kutazikutanisha galaxy mbili na vitu vitapondwa kuunda Galaxy Kubwa zaidi.

Kwa kifupi huo utundikaji/mning'inio hewani ni mwendo usio na mwisho.

Pia kumbuka mwanzoni dini iliamini Dunia ni tambalare, na Kwa msimamo huu walimuhukunu Galileo baada ya kuja na mawazo mbadara kisanyansi kuwa Dunia inazunguka jua na ni duara
 
Uongo huo tena wa wazi wazi kabisa,waseme hiyo picha waliipiga wakiwa wapi
Hakuna uongo hapo, tatizo unatumia reasoning pekee ambayo ni weak part ktk human mind. Haya Mambo yanahitaji jicho la ziada kuamini. Binafsi naamini.
 
Uongo huo tena wa wazi wazi kabisa,waseme hiyo picha waliipiga wakiwa wapi

Naona kama muhuni mmoja kalala uwanjani na kupiga picha angani, hio mbona kama nyota inaonesha.
... kipindi kile wale vijana wakijaribu kurusha vidude vyao vilivyokuja kujulikana kama ndege hapo baadaye walidharaulika sana; walitukanwa sana; pengine walilaaniwa sana.

INNOVATION na UTHUBUTU kwa ajili ya vizazi vijavyo ndio siri ya mambo makubwa uyaonayo duniani leo.
 
Tatizo hawa NASA fix nyingi mno. Kuamini hii uongo au ukweli ni shida.
 
m hiwaga naonaga ni hadith za kusadikika tu (movies)
Jiulize swali simple tu, kama wewe upo hapa, kwanini ishindikane kuwa na sehemu nyingine ambapo patakuwa si hapa? Kama hapa ulipo papo, hata pengine usipokuwepo panawezekana kabisa kuwepo.
 
Back
Top Bottom