Angalia picha ya Dunia ukiwa Sayari ya Mars

Angalia picha ya Dunia ukiwa Sayari ya Mars

Wazungu wanatumia ela nyingi xnaa kufanya hizi project ya kuweza kupata maisha nje ya dunia.

Wanaamini uwepo wa mungu ndio maana wanapingana na maneno yake.

Wanajua ipo siku dunia itaangamizwa ndio maana wana tafuta sehem pa kueka makazi wakijua wakat dunia ikiisha wakiwa huko watasalimika.

Ila ilishaandikwa watafanya vyote ila kuikimbia ardhi hii hawatoweza.

Wanachojarib ni kupingana na maneno katika Quran ndio maana kila kilichoandikwa kwenye icho kitabu wanakifanyia uchunguzi.

Akati huku watz wakikizarau hicho kitabu wao washakisoma na kufanyia kazi maneno mengi xnaa
 
... kipindi kile wale vijana wakijaribu kurusha vidude vyao vilivyokuja kujulikana kama ndege hapo baadaye walidharaulika sana; walitukanwa sana; pengine walilaaniwa sana.

INNOVATION na UTHUBUTU kwa ajili ya vizazi vijavyo ndio siri ya mambo makubwa uyaonayo duniani leo.
Hakika
 
Uongo huo tena wa wazi wazi kabisa,waseme hiyo picha waliipiga wakiwa wapi
Kama wanasayansi wanaitangazia dunia kutakuwa na event ya sayari fulani kuonekana angani siku na muda fulani ikiwa na muonekano fulani na ni event ya kila baada ya muda kadhaa.

Wewe unashuhudia tukio hilo kabisa halafu unakuja kusema ni uongo. Hiyo Mars na baadhi ya sayari nyingine hukuwahi kuzishuhudia ukiwa duniani, hivyo vyombo wanavyotuma huko Mars na kwengineko kwenda kuresearch nature na kurekodi matukio nalo hufahamu.

Majuzi India walituma chombo kusini mwa mwezini na ni tukio lililofuatiliwa dunia nzima hatua kwa hatua mpaka kutua, wakati huo huo Urusi wakiwa na same mission same destination wao walifeli kufanikisha soft landing.

Hii nayo ni uongo au sio, ukizingatia ni uwekezaji wa mabilioni ya pesa!
 
Mungu yupi, yule anaeahidi waumini wake ngono non stop mizagamuano mbinguni? Huyo anaweza kua na akili ya kuiweka Dunia hapo ilipo kama anawaza mizagamuano muda wot?
Mnyazi mungu wetu katuhaidi mito ya pombe tamu, mabikra 72, kila siku nachakata bikra mpya, na ametuhaidi kula mbususu mpaka mkuyenge uote sugu.
 
Mnyazi mungu wetu katuhaidi mito ya pombe tamu, mabikra 72, kila siku nachakata bikra mpya, na ametuhaidi kula mbususu mpaka mkuyenge uote sugu.
Mnyazi mungu SAW anasema atatupatia mabikra 72 huku akitupatia nguvu za wanawake 100, hivyo unakua na nguvu za ziada, reseve ya wanawake 28. Ni mizagamuano mwanzo mwisho. Yaani ni pombe, ngono, pombe,ngono, pombe ngono.

Najiandaa kwenda kuchakata wanawake, watanikoma.
 
Kama wanasayansi wanaitangazia dunia kutakuwa na event ya sayari fulani kuonekana angani siku na muda fulani ikiwa na muonekano fulani na ni event ya kila baada ya muda kadhaa..
Mkuu achana na mataahira. Yatakupotezea muda bure.
 
... na ukubwa wote huu ukiwa outer space dunia is just a particle? Really mere particle if not a distant debris! The universe is really endless; hakika aliyeumba kike na kiume ni mjuvi wa yote!
Wiith all this astonishment over marvelous solar systems and galaxies, it's just a small observable part of the universe. It keeps expanding as we speak je tukigfanikiwa kuichunguza yote sijui tutatoa sifa za aina gani mkuu.😊😊
 
Jiulize swali simple tu, kama wewe upo hapa, kwanini ishindikane kuwa na sehemu nyingine ambapo patakuwa si hapa? Kama hapa ulipo papo, hata pengine usipokuwepo panawezekana kabisa kuwepo.
dah ni sawa lkn kuna ukakasi mi naonaga hadithi tu
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
dah ni sawa lkn kuna ukakasi mi naonaga hadithi tu
Ni sawa kuwa na mashaka boss sababu huna namna ya kuthibitisha usahihi wa wanachokueleza ila sasa usihitimishe kuwa ni uongo au haiwezekani.
 
Aaaaaah porojo hizo hata wewe unaweza kwenda kupiha picha mida ya jioni linyota moja na ukasema angalia mars inavyoonekana ukiwa mwezini
Mkuu ngoja basi tu google...

'A view of planet earth from mars.'
 
Kaitundika pasipo na kitu ili baadae aje aichome moto vizuri na viunbe wote waliomo sio?

Sasa wakichomwa wote nani atawaletea story kwamba Mungu alichoma dunia na watu wote watakao kuja baadala ya hao waliochomwa?
 
Back
Top Bottom