Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Inategemea na tafsiri yako ya "kunufaika" a scientist's perpective of benefits and yours are two different entities by a billion miles. Wenzetu wanaona miaka 500 mbele nyie endeleeni kumsifia mungu.NASA wananufaika vipi na hizi projects zao?
Kuna longolongo kibwena kwenye hizi infos zao
Wewe jiulize kwanini Marekani ni tajiri na imeendelea na Tanzania ni Masikini ya kutupwa, kama ukikosa jibu basi hata nikikueleza faida wanazopata hautonielewa.