Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
- Thread starter
-
- #21
Halafu mumuite mungu mwenye upendo wote?Kama wewe umeamua na kupanga kufanya jambo, haitakua ajabu mtu mwingine kuishangaa mipango yako?
Kama amesema kabisa ameitengeneza, ataichoma moto, shida Iko wapi?
Mbona "kadogo" hivyo?Angalia Dunia ukiwa sayari ya Mars.
Hii ni picha imechapishwa na NASA ikionyesha Dunia kutokea Mars.
View attachment 2751415
Ndio maana mambo yote mwisho wa siku ni ubatili mtupu!!... na ukubwa wote huu ukiwa outer space dunia is just a particle? Really mere particle if not a distant debris! The universe is really endless; hakika aliyeumba kike na kiume ni mjuvi wa yote!
Hivi sio vitu vya kuamini ni vya kuelewa.Kuna watu hawataamini kwa sasa ila miaka ishirini ijayo wataamini
Kumbuka ulimwengu na vitu vyake muda waote viko katika mwendo. Huu mwendo unaweza kuutafsiri kama muanguko au mtanuko, na ni Kwa speed Kubwa sana, kutokea eneo la kati ya galaxy yetu iitwayo Milk Way, ipo Siku kutanuka huku kutazikutanisha galaxy mbili na vitu vitapondwa kuunda Galaxy Kubwa zaidi.Kuna mahali kwenye biblia inasema 'yeye( mungu) huitundika dunia pasipo na kitu'. Hakika mungu alijipanga sana kuumba ulimwengu
Hakuna uongo hapo, tatizo unatumia reasoning pekee ambayo ni weak part ktk human mind. Haya Mambo yanahitaji jicho la ziada kuamini. Binafsi naamini.Uongo huo tena wa wazi wazi kabisa,waseme hiyo picha waliipiga wakiwa wapi
Uongo huo tena wa wazi wazi kabisa,waseme hiyo picha waliipiga wakiwa wapi
... kipindi kile wale vijana wakijaribu kurusha vidude vyao vilivyokuja kujulikana kama ndege hapo baadaye walidharaulika sana; walitukanwa sana; pengine walilaaniwa sana.Naona kama muhuni mmoja kalala uwanjani na kupiga picha angani, hio mbona kama nyota inaonesha.
Bro! when did you stop commenting in english bro?m hiwaga naonaga ni hadith za kusadikika tu (movies)
Upo sahihi.Kuna watu hawataamini kwa sasa ila miaka ishirini ijayo wataamini
Make it or fake it 🤣🤣🤣🤣🤣🪑hii ni kweli ? isiwe picha wametengeneza marvel studio
tomaso kwenye ubora wanGu
Umbali kati ya Sayari ya Mars na dunia ni 378million kilometers.Mbona "kadogo" hivyo?
vidudu vya UTI havisavaiv hukoBora kukaa uko.
Angalia Dunia ukiwa sayari ya Mars.
Hii ni picha imechapishwa na NASA ikionyesha Dunia kutokea Mars.
View attachment 2751415
Jiulize swali simple tu, kama wewe upo hapa, kwanini ishindikane kuwa na sehemu nyingine ambapo patakuwa si hapa? Kama hapa ulipo papo, hata pengine usipokuwepo panawezekana kabisa kuwepo.m hiwaga naonaga ni hadith za kusadikika tu (movies)
Unakiburi cha uzima ee!Mungu yupi, yule anaeahidi waumini wake ngono non stop mizagamuano mbinguni? Huyo anaweza kua na akili ya kuiweka Dunia hapo ilipo kama anawaza mizagamuano muda wot?