Angalia Rushwa (rushwatozo) ya trafiki toka Tanga mpaka Lushoto kabla ya Kinana kuingilia kati

Kama ingekuwa kila kituo ulichotaja wanatoa pesa wamiliki wengi wangefirisika
 
Jumla 70,000+ nauli yenyewe bei gani? Huu ni uongo.
Ukweli ni upi sasa! Tunasubiria na wewe uje utafiti wako, ili tupate ukweli. Maana hilo tatizo la rushwa kwa askari barabarani kwenye hii njia, siyo la kusingiziwa! Lipo.

Na binafsi nimekuwa nikishuhudia mara kadhaa madereva na makondakta wao wanavyo lalamikia kero za hao jamaa kwenye hii njia yangu pendwa ya Lushoto Tanga.
 
Nauli elfu8 Tanga to Lushoto na ni coaster
 
Huyu nae mzembe wakati ukitoka dar hadi moshi elfu10 tu inatosha, yeye iweje ndani ya mkoa huohuo anatoa karibia fifty
Kila kituo ambapo kuna polisi unatoa chochote, ndiyo maana ni 2,000
 
EINSTEIN112 why dislike? Hii ni narration ya dereva ambaye sidhani kama ana haja ya kunidanganya!
 
Rushwa Tozo Noma
Watu Wananenepa Hovyo Barabarani
 
Hao ndio viwavi kijani😂
 
Kwa taarifa yako ni kwamba hakuna jipya wamerudi kama zamani usumbufu ni uleule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…