Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

Ulipe kodi afu madilu aitumie kununua ihefu, nani anataka ujinga huo.
 
Mwingereza wapi Mkuu? Mjerumani ndiyo alikuwa balaa, alitunyoosha kwelikweli akatufudisha kazi... Si unaona reli ya kati Dar-Kigoma bado inapiga kazi na ilijengwa na Mjerumani...
Halafu nikifikiria tunatamba na kuwa na zaidi ya miaka 60 ya uhuru dah. Bora muingereza angeendelea kututawala tu, tuliitaka nchi katika kipindi ambacho bado hatujajua nini maana ya kujiongoza katika dhima nzima ya MAENDELEO
 
Tangu tulipopata uhuru tungekuwa na mtu kama JPM, halafu wapokezane wanaofanana kizalendo, tungekuwa sawa na China.
 
Halafu nikifikiria tunatamba na kuwa na zaidi ya miaka 60 ya uhuru dah. Bora muingereza angeendelea kututawala tu, tuliitaka nchi katika kipindi ambacho bado hatujajua nini maana ya kujiongoza katika dhima nzima ya MAENDELEO
Baba yako kama ana miaka zaidi ya 60 amefanya kipi cha maana ,je ni bilionea?tafakari,sikujui so dont take it personal ila
 
Hapo machatu yamelala baada ya mihangaiko ya siku nzima.

Daah hawa macho madogo shikamoo.

Halafu hawa ndio tunaambiwa tulikuwa nao uchumi mmoja miaka ya sitini[emoji1782][emoji41]
Unajua GDP yao? China sio nchi sahihi ya kujilinganisha nayo,
 
Halafu nikifikiria tunatamba na kuwa na zaidi ya miaka 60 ya uhuru dah. Bora muingereza angeendelea kututawala tu, tuliitaka nchi katika kipindi ambacho bado hatujajua nini maana ya kujiongoza katika dhima nzima ya MAENDELEO
Unajua GDP ya China?
 
Hapo machatu yamelala baada ya mihangaiko ya siku nzima.

Daah hawa macho madogo shikamoo.

Halafu hawa ndio tunaambiwa tulikuwa nao uchumi mmoja miaka ya sitini🤡😎
Hiyo siasa usije iamini tena,china wametupa silaha mwaka 60 na zinatumika mpaka leo.

Inawezekana kabisa hakukuwa na data sahihi za uchumi kuwahusu.
 
Halafu hawa ndio tunaambiwa tulikuwa nao uchumi mmoja miaka ya sitini
Wachina kilichowasaidia kuendelea haraka ni kwa kuwa ukipatikana umeiba mali ya umma kesho yake unanyongwa.

Siyo Tanzania wengi wao ni wezi, so hakuna wa kukemea ufisadi
 
Hatutoi jibu unalotaka tunatoa jibu lenye uhalisia. Wabongo hawatoi kodi.
Hakuna mwanadamu anayependa kulipa kodi

Hata nchi zilizoendelea kuna ukwepaji wa kulipa kodi

Rejea kesi mbalimbali za watu mashuhuri ambao tumeona wakipelekwa mahakamani kwa sabau ya kukwepa kulipa kodi au kudanganya. Hao tumewafahamu kwa sababu tu ni maarufu

Serikali za wenzetu wana sheria kali inapohusu ukwepaji wa kodi, hawaangalii ni mtu mashuhuri, kiongozi au mfanyabiashara mkubwa.

Uzuri wenzetu wanapozikusanya kodi wanazitumia vizuri hadi wewe third world country wanakupa misaada

Huku wa kulaumiwa ni waliopewa dhamana ya kukusanya kodi wakipewa kitu kidogo wanakubali kupindisha ukweli, wanaogopa kukusanya kodi kwa wafanyabiashara wakubwa na biashara za viongozi.

Lakini pia huku kwetu kinachokusanywa bado tena kinaibwa na mafisadi na kinatumiwa hovyohovyo mfano manunuzi ya mashangingi. Hata ripoti za CAG huwa zinaonyesha wazi hilo
 
Chinese 600km/h maglev train went in industrial production now!

Kunming-Lijiang high speed railway may be the first line using this new fast train!

Let's imagine that going from Kunming to Lijiang costs less than 40 mins! (now the drive takes 6 hours.)

Distance from Kumning to Lijiang is 631 km

 
Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chiniView attachment 2972132
Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡

Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
Hatua bilioni moja, huanzia na moja.

Chetu kidogo lakini ndo tunasogea hivyo.. Ipo siku kuna nchi watatutumia kama mfano wa kuigwa endapo tutadhamiria kubadilika kama nchi tukianzia kwenye Katiba na mifumo yetu ya Elimu, Utawala na uchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…