Angalia umri wa afisa mpya wa mawasiliano/habari wa ikulu ya Marekani (White House) pamoja na elimu yake! Njoo bongo!

Mazingira ni tofauti Huku kiaka 27 bado anaamka nyumbani kwa wazazi bado hajaanza kujitegemea kikamilifu.
 
Poa poa mkuu big up...🀝
 
Mazingira ni tofauti Huku kiaka 27 bado anaamka nyumbani kwa wazazi bado hajaanza kujitegemea kikamilifu.
Cheo chenyewe kina deserve mtu ambae yupo active kulinga na dunia tuliyonayo yenye inaenda kasi balaa asa angemchagua babu/bibi ili iweje?
Ikulu saivi lazima pachangamke ukizingatia ni muhula wa mwisho alafu inabidi mambo mengi ya mageuzi ya tokee kwahiyo lazima damu ya moto iingie mzigoni .
 
Reactions: apk
Gentleman,
kwani kuna ubaya wowote wajemeni?

tatizo liko wapi angali tunafanya kazi nzuri sana kwa weledi na maslahi mapana ya Taifa na waTanzania wote?πŸ’
Kwa sisi kuaminiwa vijana kuingia ikulu watatumia ile kauli ya mwasisi wa taifa hili
"IKULU NI MAHALI PATAKATIFU............"
 
Hivi hata wewe ungekuwa ni mmarekani ungeamini daktari mwenye elimu kutoka Bongo? Kna Samia wenyewe wanakimbia wanakwenda nje kutibiwa, mtu wa aina hii utamwamini atibu raia wako?
 
BEZO Usicheke kwa sauti utamshtua babu Kiranga ujue ashaanza kusinzia
Mi SIMO....πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Tatizo wanaisikilizia Marekani redioni.

Marekani ukiisikia kutoka Buza na Marekani ukiishi Marekani ni nchi mbili tofauti ujue.
Pia wengi hawana uwezo wa kufuatilia mijadala fikirishi kwenye media za kimataifa kuhusu siasa za Marekani na mataifa mengine makubwa.

Wanafuatilia vitaarifa vya kishabiki vinavyosambazwa na bloggers hasa wale wenye kuhangaika na mielekeo ya conspiracies.
 
Ndiyo hivyo mkuu.

Halafu mtu anakuja hapa kujadiliana nami ambaye nimeichambua kutoka Alexis de Tocqueville mpaka Fareed Zakaria.

A to Z.
 
Kibongo bongo.. umri huo mi nawaza tuu connection ya mshangazi..

Kuhusu uwezo hapa bongo wengi waliopo kwenye system baadhi yao hawana kitu kabisa l.. amini kwamba.

Kuna watu hatulali kutwa tunafanya kazi za watu ambao wenyewe walifika pale kama professional wa hizo kazi..

Connection zonafanyika ila za kingese sana...
 
Kwahyo umpeleke kijana wa miaka 27 pale magogoni akawe afisa habari?🀣🀣🀣🀣 userious kidogo tafadhali. Bongo mtu wa umri huo bado anavuta bange kwanza,hotels na lodge ni yeye,sasa unadhani atfanya ipasavyo hyo kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…