Angalia umri wa afisa mpya wa mawasiliano/habari wa ikulu ya Marekani (White House) pamoja na elimu yake! Njoo bongo!

Usilinganishe kila kitu, siyo kila kitu kina linganishwa au kufananishwa.
 
Kama unataka kujifunza kwa Trump aliye suggest watu wadungwe disinfectants ili kudhibiti Corona...., All I can say you have set the bar too low.....

Ifike wakati tufanye mambo sababu ya merits na sio sababu fulani kafanya au hajafanya...
 
Hiyo ni wapi Balozi anafanya usaili....?! Maafisa wake wanafanya Nini? Be informed...sisi tuliwahi kuwa na Balozi Salim Ahmed Salim ktk umri wa miaka 21! Usituchukulie poa!
 
Are you seriously comparing a well-fed and raised American who grew up in the suburbs from one of the most advanced, wealthy, and powerful nations on the planet with a Tanzanian?

What's your logic or thought process behind that? Naiveté?
 
Kwa TANZANIA kijana wa 27 yrs akiwa na masters tu mabega yanazidi kichwa full kuona wenzie wajinga
 
Naona kuna mtu unanifananisha naye.
Hapana masjid .... Sijabahatisha shekh

Mwalimu wetu wa chuo alipata matatizo hayupo tena uzee ulichangia

Inshallah shekh Allah mwingi wa rehema tutakutana tena
 
Lakini mzee uchawa Hadi huko kwenu upo vipi Biden hakuteuwa machawa wake?
 
Lakini mzee uchawa Hadi huko kwenu upo vipi Biden hakuteuwa machawa wake?
Uchawa haukosi. Katika mabalozi wa Marekani wengi wamepewa ubalozi kwa sababu wamechangia sana kwenye kampeni za marais.

Tofauti ni kwamba hapo awali watu walikuwa angalau wanaweka uchawa wenye sura ya professionalism, sasa hivi Trump anasema wazi kabisa kwamba anataka kujaza serikali chawa wake, na wengine kabla ya kuwateua anawaukiza kabisa "Utakubali kuwa chawa wangu?"

Haya mambo hayakuwahi kuwapo kwa kiasi hiki.
 
Nyerere aliteua mabalozi hata waliokuwa kwenye early twenties na mid twenties, fanya utafiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…