Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha,,, rudini Bongo mjenge nchi yenuTrump hajali umri wala elimu, anajali kupanga chawa wake tu.
Dunia nzima nchi yangu. Usinipangie maisha, mimi sijakupangia.Hahaha,,, rudini Bongo mjenge nchi yenu
Make America great again, if you are not making America great you should not stay in America.Dunia nzima nchi yangu. Usinipangie maisha, mimi sijakupangia.
Straight to my ignore list.Make America great again, if you are not making America great you should not stay in America.
Gotcha bitchStraight to my ignore list.
From here on I will not see your posts.
Hiyo ni wapi Balozi anafanya usaili....?! Maafisa wake wanafanya Nini? Be informed...sisi tuliwahi kuwa na Balozi Salim Ahmed Salim ktk umri wa miaka 21! Usituchukulie poa!Nchi za Magharibi wao wanaangalia ubora au uwezo alionao mtu kisha ndipo mtu huyo anateuliwa, tofauti kabisa na hali ilivyo katika nchi zetu hizi za kiAfrika ambako watu huteuliwa kutokana na uchawa, ukada, undungu, na sifa nyinginezo kama hizi.
Mimi binafsi nilipokuwa kwenye nchi fulani hivi wakati nilipofuatilia Viza ya kutaka kuzuru kwenye nchi ya tatu, nilipofika katika Ofisi ya Ubalozi wa nchi hiyo ya tatu nilishangaa sana kukutana na Binti Mdogo kabisa mwenye umri wa miaka 28 tu akiwa Balozi wa nchi hiyo niliyotaka kutembelea. Nilimuuliza maswali mara Mbili-mbili huyo kabinti Balozi ambaye alitambulishwa kwangu na Maafisa wa Ubalozi kuwa ndiye Boss wao hapo Ubalozini hivyo ninapaswa kwenda Ofisini kwake ili aweze kunifanyia usaili (interview) kwani Mimi sikuwa raia kwenye hiyo nchi ambayo nilikuwa naishi kwa wakati huo. Ni ajabu sana kwa msichana wa umri wa miaka 28 kuteuliwa kuwa Balozi wa Nchi, kitu ambacho siyo rahisi kutokea ktk nchi za Afrika.
Hiyo ilikuwa mara yangu ya kwanza kumuona Balozi wa Nchi akiwa na umri Mdogo Sana namna hiyo.
Zee la nyetiUsinikumbushe Kabudi
Sijasahau mkuu mengine acha nisisemeUnaota.
Naona kuna mtu unanifananisha naye.Sijasahau mkuu mengine acha nisiseme
Hapana masjid .... Sijabahatisha shekhNaona kuna mtu unanifananisha naye.
Umepgawa wewe. Chuo gani?Hapana masjid .... Sijabahatisha shekh
Mwalimu wetu wa chuo alipata matatizo hayupo tena uzee ulichangia
Inshallah shekh Allah mwingi wa rehema tutakutana tena
Lakini mzee uchawa Hadi huko kwenu upo vipi Biden hakuteuwa machawa wake?Hapana, hayo ni mawazo yako tu, hunijui.
Na kama kawaida yenu Wabongo wengi ni mabingwa wa kutunga hadithi na kuziweka kama ukweli hata pale ambapo hamjui ukweli na mlitakiwa kuuliza tu kujuzwa.
Inawezekana kabisa mimi na wewe tusiweze kabisa kuelewana na jitihada za kuelewana zikawa sana na jitihada za kumfundisha guluguja asiye na ubongo wala uti wa mgongo hesabu za String Theory.
Uchawa haukosi. Katika mabalozi wa Marekani wengi wamepewa ubalozi kwa sababu wamechangia sana kwenye kampeni za marais.Lakini mzee uchawa Hadi huko kwenu upo vipi Biden hakuteuwa machawa wake?
Huu ni ujing .. wa kiwango cha SGRHuku WASIRA ni kiongozi,Huku mabeyo ni kiongozi,Pinda ni kiongozi
Umesahau madrsa tuliyisomeshwa na imamu s...Umepgawa wewe. Chuo gani?
Nyerere aliteua mabalozi hata waliokuwa kwenye early twenties na mid twenties, fanya utafiti.Nchi za Magharibi wao wanaangalia ubora au uwezo alionao mtu kisha ndipo mtu huyo anateuliwa, tofauti kabisa na hali ilivyo katika nchi zetu hizi za kiAfrika ambako watu huteuliwa kutokana na uchawa, ukada, undungu, na sifa nyinginezo kama hizi.