The Loyalty King
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 1,298
- 2,124
😁😁😁 Na bado anaishi kwaoKwa huko sawa tuu ila hapa kwetu ingekuwa ngumu sababu mtu mwenye 27 yrs yeye binafsi anajiita mtoto tena sio mtoto tuu anaongezea "mtoto mdogo"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁 Na bado anaishi kwaoKwa huko sawa tuu ila hapa kwetu ingekuwa ngumu sababu mtu mwenye 27 yrs yeye binafsi anajiita mtoto tena sio mtoto tuu anaongezea "mtoto mdogo"
Mpaka kwenye baraza hili la sasa, Mkuchika bado ni waziri!!Ili aende na wakati mnajua tena vijana ni rahisi kufuatilia vitu kuliko wazee
Sisi mpaka augue au afie madarakani
Dunia inaenda kasi sana inahitaji wanaoendana nayo
Wazee wa Africa simu zao wanajua ku download uchafu tu
Machawa kila sehemu wapo mfano Yule ishow speed sichawa tu yuleKuna raia hawaamini kama viongozi wa Marekani na Ulaya wana chawa wao pia...
Mkuu, Nyerere alipata urais mwaka 1962 akiwa na miaka 40, bado kijana. Enzi hizo za mkoloni, wasomi walikuwa ni wachache na wengi walikuwa vijana, sasa ungetegemea awateue wazee kutoka wapi tena?? Hivyo aliteua vijana wenzakeNyerere aliteua mabalozi hata waliokuwa kwenye early twenties na mid twenties, fanya utafiti.
Chuo gani? Madrasa gani? Mimi sijawahi kusoma madrasa ya imamu yeyote.Umesahau madrsa tuliyisomeshwa na imamu s...
🤣🤣🤣 ni shida😁😁😁 Na bado anaishi kwao
Kama Trent Alexander Arnold vile😁😁😁 Na bado anaishi kwao
Sawa shekh humu mtandaoni yaishie apaChuo gani? Madrasa gani? Mimi sijawahi kusoma madrasa ya imamu yeyote.
Umechanganyikiwa wewe.
Kwani nyie si mmeshapewa nafasi ya uchawa? Au hii haiwatoshi🤣🤣🤣🤣🤣Trump amemchagua afisa habari wa ikulu ya Marekani kwa muhula mpya unaokuja. Ni afisa kijana na siyo mara ya kwanza kwa nafasi yake!
Angalia umri wake pamoja na elimu yake, hatishi sana kielimu (mtazamo finyu wa watanzania). Unahisi nini kimembeba??
Pamoja na uzoefu wake akiwa ikulu plus 'connection',bila shaka uwezo wake ni mkubwa!
Chukua umri wake kwa kijana wa kitanzania plus hiyo elimu kisha lete mtazamo wako! Nafikiri wenzetu wanaangalia uwezo kwanza kisha connection!
Trump nominates youngest press secretary in US history
At just 27 years old, Leavitt will make history as the youngest person to hold the position.
Trump nominates youngest press secretary in US history
Nb: Ni mtazamo tu!
Lucas Mwashambwa 😂😂😂Sisi vijana wa ovyo ni wengi
Na nasikia bado wapo uvccm ,eti wanajiona bado vijanaHuku WASIRA ni kiongozi,Huku mabeyo ni kiongozi,Pinda ni kiongozi
Wacha kuparatia wanaume usiowajua mitandaoni wewe.Sawa shekh humu mtandaoni yaishie apa
Ila ukweli unajua
Tabia ya kubebana na kuamini sana ushirikinaMpaka kwenye baraza hili la sasa, Mkuchika bado ni waziri!!
Sisi huku tuna akina George Huruma Mkuchika na tunatamba naoTrump amemchagua afisa habari wa ikulu ya Marekani kwa muhula mpya unaokuja. Ni afisa kijana na siyo mara ya kwanza kwa nafasi yake!
Angalia umri wake pamoja na elimu yake, hatishi sana kielimu (mtazamo finyu wa watanzania). Unahisi nini kimembeba??
Pamoja na uzoefu wake akiwa ikulu plus 'connection',bila shaka uwezo wake ni mkubwa!
Chukua umri wake kwa kijana wa kitanzania plus hiyo elimu kisha lete mtazamo wako! Nafikiri wenzetu wanaangalia uwezo kwanza kisha connection!
Trump nominates youngest press secretary in US history
At just 27 years old, Leavitt will make history as the youngest person to hold the position.
Trump nominates youngest press secretary in US history
Nb: Ni mtazamo tu!
Ndugu yangu kukumbushia madrasa tuliyosoma imekuwa nakupapatikiaWacha kuparatia wanaume usiowajua mitandaoni wewe.
Mimi sikujui na wewe hunijui.Ndugu yangu kukumbushia madrasa tuliyosoma imekuwa nakupapatikia
Inshallah