Angalia hapa
Kuwa na Trump kwenye debate ni upuuzi tupu; hana akili ya kujadili bali anajua kubishana na kuongopa tu. Halafu Moderator anamwachia sana kuingilia.
Kumbuka alishinda hivyo hivyo kimzamzaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia hapa
Kuwa na Trump kwenye debate ni upuuzi tupu; hana akili ya kujadili bali anajua kubishana na kuongopa tu. Halafu Moderator anamwachia sana kuingilia.
Huku danganyika kuna lijamaa linapita kuhubiri maendeleo hayana chama wakati huo huo linaeneza chuki dhidi ya upinzani.Wenzetu wako mbali Sana kiuchumi angalia ishu zilizojadiliwa Kwenye mdahalo wao ni vitu vitano muhimu Kwa nchi yao yaani UCHUMI,UBAGUZI WA RANGI,COVID-19,AFYA NA HALI YA HEWA...sasa ukirud huku kwetu ni aibu tupu miaka 50 ya UHURU bado tupo Kwenye siasa za Maji ya visima,umeme vijijini, barabara za Lami na majosho ya ng'ombe.
MUNGU atusamehe Tu Kwa kweli!!!
Madikiteita wote wako hivyo. magoti ya unafiki, akitoka hapo ni muuajimagoti kinafki sisi.
Wenzetu wako mbali Sana kiuchumi angalia ishu zilizojadiliwa Kwenye mdahalo wao ni vitu vitano muhimu Kwa nchi yao yaani UCHUMI,UBAGUZI WA RANGI,COVID-19,AFYA NA HALI YA HEWA...sasa ukirud huku kwetu ni aibu tupu miaka 50 ya UHURU bado tupo Kwenye siasa za Maji ya visima,umeme vijijini, barabara za Lami na majosho ya ng'ombe.
MUNGU atusamehe Tu Kwa kweli!!!
Kwa kweliBwana yule asiyeweza mdahalo Wala kufahamu kiingereza vizuri anahutubia injili ya wanawake warembo na weupe na kumuoza mama yake kwa mahari ya jogoo. Tutafika kweli?!
Hilo halina tofauti na jambazi suguMadikiteita wote wako hivyo. magoti ya unafiki, akitoka hapo ni muuaji
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Hilo halina tofauti na jambazi sugu