Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu Uchokozi sasa 😂 😂Dah! afadhali ya Trump, Magu hata kwenye debate hathubutu kufika.
Watu wanapimwa kutokana na kazi zao na misimamo yao wanavyo isimamia, watu hawapimwi kwa maneno maneno, na midaharo labda Kama hawajawahi kuhudumu popote.
Lisu amesha wahi kuwa, mbunge, rais wa wanasheria,kiongozi ndani ya Chadema mbaka Sasa. Akiwa mbunge aliwashawishi wananchi wa jimbo lake wasi changie madawati,maabara,na vyumba vya madarasa huku akifahamu watotowake hawasomi hapo wanasoma shule za kulipia.
Ana shawishi hivyo wakati karibu nchi nzima wananchi waliunga mkono juhudi za serikali kuchangia ujenzi uo.
Akiwa mjumbe wa kamati kuu Chadema Lisu anasema Yeye ndie aliye andaa waraka ulioitwa wa mafisadi na alizunguka nchi nzima kuunadi na katika waraka huo alimwandika Lowasa Kama fisadi kiongozi lakini chakushangaza Lowasa alipo kosa nafasi ya kugombea urais kupitia CCM yeye Lisu na Mbowe waka mkaribisha Chadema agombee nafasi hiyo ya Urais uku apo kabla wakiwa wame waaminisha wa Tanzania kwamba Lowasa ni Fisadi.
Akiwa mjumbe wa kamati kuu na mwanasheria wa chadema, walimfukuza Zitto Kabwe kwa tuhuma za kupanga njama za kumpindua Mwenyekiti bila kumpa nafasi ya kujitetea na zitto alipo kimbilia mahakamani Lisu akatamka Zitto atabaki kua mbunge wa mahakama
Lisu Kama kiongozi alishuhudia matumizi ya hovyo ya fedha za Chadema zilizo tolewa na wafadhili wa ndani na nje ya nchi, michango ya wabunge, rushwa za ngono katika kupata wabunge wa Viti maalumu kwa maslahi ya baadhi ya viongozi wanao muunga mkono Mwenyekiti DJ, bila kukemea au kupinga kwa namna yoyote na yeye kwa jinsi ya mazingira yalivyo inaonekana ni mnufaikaji mkubwa wa Mambo ya hovyo ndani ya Chadema.
Hizo ndizo rangi halisi za Lisu.
JPM yeye misimamo yake na uchapakazi wake tangua akiwa naibu waziri mbaka waziri anafahamika ni mtumishi asiye yumba katika kupigania Taifa la Tanzania. Katika kipindi chake akihudumu Kama waziri ndie alikua mmoja wa waziri Bora kutokea nchi hii Kati ya walio acha alama ya utendaji kazi ukimwacha sokoine na Agustino mrema.
JPM akiwa rais wa Jamhuri ya Muungano kazizake zinaongea zenyewe. Uhitaji mjadala au kongamano kuwapima utendaji kazi wao au misimamo yao wakati kazi zao walizo wahi kuzifanya zinaongea.
JPM is far better than Lisu.
Lisu anamapungufu mengi sana kuweza kupewa nchi. Ana kiburi kisicho na faida na kumfanya asiweze kuyaona Mambo ki uhalisia wake, kitendo Cha kutuhumu watu tu akiwa kwenye kampeni zake bila ushahidi tena akiwa mwanasheria ni mapungufu ambayo hayaelezeki
Wamuulize Kitila Mkumbo mgombea ubunge kwa tiketi ya maccm umuhimu wa mdahalo.Wapambe wanasema mdahalo una manufaa gani? haaa haaa akili za ccm khaaa
Bora ya Trump kasubutu, je jiwe anaweza kukubali debate na Lissu?Trump anavuruga debate. Hajali rules kabisa.
Anaingilia kila majibu ya Biden.
Debate imewaka moto mapema sana.
Kuna mahali nimeona Biden 48% na Trump 41%Nani mshindi kwenye huu mdahalo?
Umeongea point mkuuVijana wa CCM na CHADEMA huwezi kuwakuta wakiangalia vitu kama hivi maana wao siasa ni ushabiki na sio hoja.
Opinion za wengi zinampa Joe nafasi ya kuongoza maana Trump alikuwa ana interrupt sana wakati jamaa anaongea.Kuna mahali nimeona Biden 48% na Trump 41%
Uisahau kuwa Biden naye alikuwa VP serikali iliyopita, naye hawezi kujitenga na kuboronga au kufanikiwa kwa Obama.Opinion za wengi zinampa Joe nafasi ya kuongoza maana Trump alikuwa ana interrupt sana wakati jamaa anaongea.
Waliotaka kusikia hoja naona kama hawamkubali sana Trump.
Ila kwa kawaida kama wewe ni rais uliye madarakani, ni rahisi kuwa defensive kuliko mpinzani wako maana yeye hana mahali pa kuulizwa.
Naona Trump akaamua kuwa defensive as well as kumshambulia Joe.
Debate ilikuwa trump vs Biden na moderator na kawachanachana vipande, Moderator yuko biased kwa biden ila trump kamchana chanaNiko Macho nikifuatilia debate ya Mabeberu hapa.
Trump ni kama mtoto wa chokoraa,sio msikivu kabisa kwa moderator.
Joe aka yale ni slow joe, anafikiri taratibu sanaJamaa ana interrupt sana kila Joe akijitahidi kueleza anaingia kati
A clown won,hahah.Debate ilikuwa trump vs Biden na moderator na kawachanachana vipande, Moderator yuko biased kwa biden ila trump kamchana chana
Wenzetu wako mbali Sana kiuchumi angalia ishu zilizojadiliwa Kwenye mdahalo wao ni vitu vitano muhimu Kwa nchi yao yaani UCHUMI,UBAGUZI WA RANGI,COVID-19,AFYA NA HALI YA HEWA...sasa ukirud huku kwetu ni aibu tupu miaka 50 ya UHURU bado tupo Kwenye siasa za Maji ya visima,umeme vijijini, barabara za Lami na majosho ya ng'ombe.
MUNGU atusamehe Tu Kwa kweli!!!