Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo msafara wa viongozi wa serikali yako unafanana hata kidogo na nyumba unazoziona kwa pembeni?Mada nyingine za kipuuzi kweli
Kwa hio unatakaje na viongozi wa huku watembee na baiskeli au
Acha ushamba ingawa kuna mataira yatakusuport
SawaView attachment 3038250View attachment 3038251View attachment 3038252View attachment 3038253
Mmoja ni msafara wa nchi wapokea misaada, misfara mingine miwili ni wagawa msaada Netherlands na Uingereza.
Na misafara kama hivyo ndio inatia uvivu hata kulipa kodi, kwa sababu zinaishia kugharamia anasa za watawala. Ni shida kwelikweliAlafu kila siku wanapiga kelele kwamba pesa hakuna na bado wanapata pesa za kuchezea namna hiyo 🤔
Mwalimu ile ilikuwa ni habari nyingine !!Waafrica tuna ulimkuekeni wa vitu
Utashangaa mawaziri wa samia wanashindana kununua nyumba dubai
Ni mwl Nyerere hakuwa na shonoka na vitu
Iko vile 😳👍Mtu akiteuliwa nafasi fulani huwa tunasemaje, "AMEULA", shida inaanzia hapo. Tunajua kabisa aliyepewa nafasi amepata fursa..ya nini....
Kingine, pesa ya kupewa haiumi, si tunawahonga wanawake kila siku..wenyewe wanasema pesa ya kuhongwa ni tamu.
Kumbe ni kuhusu izo nyumba mbona hata huku kuna mitaa iko ivo kibaooHuo msafara wa viongozi wa serikali yako unafanana hata kidogo na nyumba unazoziona kwa pembeni?