Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Vyanzo kuu vya maji vya Mkoa wa Morogoro:
1. Mito mikuu:
· Mto Wami - unaopita Morogoro mjini
· Mto Mgeta/Ruvu - ni tawimto muhimu
· Mto Mkondoa
· Mto Ngerengere
2. Milima na Mito Midogo:
· Milima ya Uluguru - huchota mvua nyingi na kuleta mito mingi.
· Mito ya Uluguru (kama Mto Lukigura, Mto Mzinga, n.k.)
3. Mabwawa
· Bwawa la Mindu (kwenye Mto Ngerengere) - hutoa maji kwa matumizi mbalimbali
· Bwawa la Kidatu (karibu na mpaka wa Mkoa wa Iringa)
4. Vyanzo vya Maji ya Chini ya Ardhi:
· Visima vingi vya udongo na visima vya kina vya maji safi
· Chemichemi za asili katika maeneo mbalimbali
Na Bado watu wanateseka kupata maji safi na salama. Halafu anakuja mtu anasema this country is so poor..