Halafu yanajiita wasomi, kichwani bure kabisa.Hii nchi ina matakataka yanakera sio bure!
Peter Torsh aliimbaVyanzo kuu vya maji vya Mkoa wa Morogoro:
1. Mito mikuu:
· Mto Wami - unaopita Morogoro mjini
· Mto Mgeta/Ruvu - ni tawimto muhimu
· Mto Mkondoa
· Mto Ngerengere
2. Milima na Mito Midogo:
· Milima ya Uluguru - huchota mvua nyingi na kuleta mito mingi.
· Mito ya Uluguru (kama Mto Lukigura, Mto Mzinga, n.k.)
3. Mabwawa
· Bwawa la Mindu (kwenye Mto Ngerengere) - hutoa maji kwa matumizi mbalimbali
· Bwawa la Kidatu (karibu na mpaka wa Mkoa wa Iringa)
4. Vyanzo vya Maji ya Chini ya Ardhi:
· Visima vingi vya udongo na visima vya kina vya maji safi
· Chemichemi za asili katika maeneo mbalimbali
Na Bado watu wanateseka kupata maji safi na salama. Halafu anakuja mtu anasema this country is so poor..
Mbona wamekula shule na vyeti vya kutosha tuViongozi wengi ni vilaza sana
4m4 failure ndiyo tatizoVyanzo kuu vya maji vya Mkoa wa Morogoro:
1. Mito mikuu:
· Mto Wami - unaopita Morogoro mjini
· Mto Mgeta/Ruvu - ni tawimto muhimu
· Mto Mkondoa
· Mto Ngerengere
2. Milima na Mito Midogo:
· Milima ya Uluguru - huchota mvua nyingi na kuleta mito mingi.
· Mito ya Uluguru (kama Mto Lukigura, Mto Mzinga, n.k.)
3. Mabwawa
· Bwawa la Mindu (kwenye Mto Ngerengere) - hutoa maji kwa matumizi mbalimbali
· Bwawa la Kidatu (karibu na mpaka wa Mkoa wa Iringa)
4. Vyanzo vya Maji ya Chini ya Ardhi:
· Visima vingi vya udongo na visima vya kina vya maji safi
· Chemichemi za asili katika maeneo mbalimbali
Na Bado watu wanateseka kupata maji safi na salama. Halafu anakuja mtu anasema this country is so poor..
Shithead pumpkin motherfuckers!Halafu yanajiita wasomi, kichwani bure kabisa.
Bob akakazia,..... the fools is thirsty...ratPeter Torsh aliimba
"In the plenty of wells fools die for want of water"