Ni kweli kabisa kwamba UKenyatta alishinda kwa kura na wala hakuiba, ushindi huo ulikuja hivi!!!, kilichotokea ni kwamba upande wa anakotokea Raila (Nyanza Provience) ambako ndiyo wapiga kura wengi wa Raila zoezi la kupiga kula lilifungwa rasmi saa 5:00 jioni lakini upande anaotokea Kenyatta watu walipiga kura hadi 3:30 asubuhi maana misululu ya wapiga kula ilikuwa mrefu mno, siku hiyo kituo cha citizen kilikuwa kinarusha live maeneo yote ya kupigia kura nchi nzima. Mbinu iliyotumiwa na mashabiki wa jubilee ni kwamba walihakikisha kila mtu wao mejiandikisha na familia yake yote, hii pia ilichochewa na hali halisi ya siasa za Kenya kuwa asilimia kubwa huendeshwa kwa ukabila.Mkuu laila hakushinda uchaguzi wewe acha kudanganya watu hizi ni politics tu
Uhuru ndo alishinda na atashinda tena 2017
kwahiyo kabila lililokuwa linamuunga mkono Uhuru waliandikisha hadi vijana wao wa form II&III sasa sijui kama vijana wa kidato hicho walikuwa tayari na umri wa mpiga kura, hiyo ni kazi ya tume ya uchaguzi ya nchi husika. Kwahiyo Raila alishindwa kuwahamasisha waungaji mkono wake kuhakikisha kila mtu kwenye familia anajiandikisha na kupiga kula; nimeona nieleze kwa ufupi kuhusu Raila kuibiwa kura zake siyo kweli ila alizidiwa kete kwenye uandikishaji wapiga kura na ndo maana eneo lake walimaliza mapema kupiga kula wakati kwa mwenzake watu walipiga kura hadi asubuhi ya saa 3:30 (saa tisa na nusu usiku?