Angalia Zelensky Alivyonywea

Hapana USA watalazimisha atolewe madarakani

Trump ni mtu wa kulazimisha si kuua

Washaanza kumuita DIKTETA
 
Kete pekee aliyobaki nayo Zelensky ni moja tu kete matata sana dhidi ya marekani na walio mponza NATO nayo ni kuongea kwa siri na putini na kumkabidhi nchi yote ya ukrain hiyo ndiyo kete matata sana atakuwa kaicheza.
 
Najiuliza sana inakuwaje watu wanafurahia mafanikio ya dikteta Putin hata kwa kupewa msaada na Rais wa Marekani? Halafu wanamchukia mtu aliyeonyesha ujasiri mkubwa wa kuongoza nchi yake dhidi ya uvamizi wa nchi kubwa sana kuwazidi?
Mkuu kwenye neno 'aliyeonyesha ujasiri mkubwa'

Hapa aliyeonyesha ujasiri ni Biden si Zelensky

Biden baada ya kutoka unaona kilichotokea

N.b Na huko German mambo yamejipa kwa AFD wamepata viti vingi bungeni, watakwamisha mambo mengi

Merz mwenyewe haeleweki ni mtata
 

Usalama wa Ukraine ndio Usalama wa bara lote la Ulaya, hususani Ulaya Magharibi.

Ukraine ikishindwa Vita maana yake ni kwamba Ulaya yote kabisa itakuwa imetekwa na Urusi. Hili litakuwa jambo baya sana tena ni jambo la hatari kubwa sana kupita kiasi kwa maisha ya Watu wote kabisa wa bara la Ulaya.
Kwa hali kama hiyo, ni Bora Watu wa Ulaya waingie katika Vita ya Tatu ya dunia kuliko kuruhusu Urusi ishinde Vita hiyo.
Kwanza kabisa, lengo Kuu mojawapo la kuanzishwa kwa NATO ilikuwa ni kupambana na Udikteta wa Watawala wababe wa Urusi.

Urusi ikishinda Vita hii, bado ataendelea kuteka maeneo mengine zaidi na zaidi hadi Ulaya yote kabisa iwe chini ya Utawala wa Urusi, Putin hataishia kuiteka Ukraine peke yake.
 
Hiyo Zelensky ni mpumbavu tu
 
Umelishwa Matango pori kabla vita ya Ukraine Urusi amevamia nchi gani nyingine na kuchukua maeneo??
 
Umelishwa Matango pori kabla vita ya Ukraine Urusi amevamia nchi gani nyingine na kuchukua maeneo??

Utakuwa una matatizo ya akili.

Nchi ya Urusi tayari imezivamia kijeshi karibia nchi zote kabisa ambazo ni majirani zake anaopakana nao. Ina maana kwamba wewe hulijui jambo hili kweli??? Nakumbuka Mwaka 2008 aliivamia Georgia
 
Urusi haikutaka kamwe kumuua Zelensky kwasababu walitaka aumie kuona matukio yote ya maangamizi kwenye nchi yake ila kwasaaa kuna uwezekano wa Zelensky kuuawa na Mamluki wa Marekani.
 
Umelishwa Matango pori kabla vita ya Ukraine Urusi amevamia nchi gani nyingine na kuchukua maeneo??
Hajachukua ila lengo la Urusi ni kuchukua Dominion zote zilizokuwa chini yake wakati USSR ikiwa na nguvu kubwa zaidi Ulaya yote

Wanaamini katika kumiliki maeneo makubwa hasa ya jirani ni advantage kwao kiuchumi na kiulinzi, vivyo hivyo CHINA itakuja kuichukua Taiwan siku moja kwasababu Taiwan ni Maswahiba wa USA
 
analipia hiyo satellite hatumii bure ndio maana kuna kipindi elon alikuw anauza info za kimtandao za wanajeshi walioko frontline kwa russia
Sasa putin amege ukraine mara ngapi nafurahi mnakubali mziki wa kafir trump dhid ya ukraine ila hsmkubali mziki wa khafir trump dhid ya palestina
 
Zele alipotua USA akaanzia kwa mabest zake Democratic wakamuandikia "script" za namna ya kujihami akifika "oval office" sasa bahati mbaya akakutana na vichwa vibovu Trump, JD ghafla mistari ikafutika kichwani.

Democrat wamepoteza muigizaji mahili!
 
Anawatetea au anawaangamiza ?

Trump anaowatetea ni oligarchy wachache ila sio USA kwa ujumla au long term benefits kwa USA

Kwa taarifa yako hili la USA kuchukua na kufaidika na mali za watu na kuuza silaha kwa mgongo wa misaada limekuwa lifanywa all along (hio inaitwa soft imperialism) unapewa kidogo kwa goodwill ila mwisho wa siku anayekupa anafaida; anachofanya sasa ni Trump kuonyesha true colors (kwamba tunakupa / tunakuuzia silaha ambazo zinatengenezwa na kampuni zetu, ila lazima utupe madini tuchimbe); kabla wangekupa silaha kesho wakaja kuomba mikataba ya kampuni zao...

Anapiga story za Tariff kwamba zinawasaidia raia ila kumbe ni raia ndio wanalipia hizo Tariff sio muuzaji (ingawa muuzaji atakosa masoko), ila kwa hizi kauli za kuleta Ubabe consumers wengi wa nchi nyingine itabidi waungane..., In short the greatest champion wa BRICS ni Trump..

Na kwa taarifa yako kuna almost 50 percent hawakubaliani nae kabisa (kwahio naweza kusema its a nation divided)

Ngoja iendelee kunyesha...
 
Huyu mbabu ana huruma sana na maisha ya watu

Yeye vita zake za kibiashara sio za kumwagana damu
Kudadekii kumbe hawa viongozi wetu wakienda huko kuomba misaada huwa wanasemwa hivi km watoto.. lazima wawe mafisadi yani imagine unasemwa kwa niaba ya watu million 65 wote..kwanini usichukue hela dadeki..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…