Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 1,396
- 2,704
- Thread starter
- #21
Huyu mbabu ana huruma sana na maisha ya watu
Yeye vita zake za kibiashara sio za kumwagana damu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana USA watalazimisha atolewe madarakanikati ya watu walioaibishwa mno leo hii, zelesky ni wa kwanza dunia nzima. wamemshambulia kama mtoto mdogo, hawajamheshimu kama rais. ila na yeye ni noma, amepambana, amemjibu trump apendavyo na ameondoka bila kusaini chochote, na kamwambia trump hataki majadiliano yoyote na urusi ambayo yatahusisha marekani, maana yake ni kwamba hamwamini trump kwenye mazungumzo hayo. kawanyoosha wamarekani hadi wanalalamika kuwa ameidharau white house tena akiwa ndani mle mle.
ninachokiona, soon atauawa ili aje rais mwingine atakayewapa wamarekani hayo madini. mark my words.
Shida zina tabia ya kukupeleka kwa adui yakoSasa kaenda kufanyaje? Alitarajia Win Win mbele ya Trump/US? Ni kama kaenda kutibua
Ana laana huyu,alifukuza makanisa Ukraine huyu.Aokoke anrudie Mungu
Kete pekee aliyobaki nayo Zelensky ni moja tu kete matata sana dhidi ya marekani na walio mponza NATO nayo ni kuongea kwa siri na putini na kumkabidhi nchi yote ya ukrain hiyo ndiyo kete matata sana atakuwa kaicheza.kati ya watu walioaibishwa mno leo hii, zelesky ni wa kwanza dunia nzima. wamemshambulia kama mtoto mdogo, hawajamheshimu kama rais. ila na yeye ni noma, amepambana, amemjibu trump apendavyo na ameondoka bila kusaini chochote, na kamwambia trump hataki majadiliano yoyote na urusi ambayo yatahusisha marekani, maana yake ni kwamba hamwamini trump kwenye mazungumzo hayo. kawanyoosha wamarekani hadi wanalalamika kuwa ameidharau white house tena akiwa ndani mle mle.
ninachokiona, soon atauawa ili aje rais mwingine atakayewapa wamarekani hayo madini. mark my words.
Zelensky anaweza kwa hasira kumkabidhi urussi ukrain yote kumkomoa trumpHapana USA watalazimisha atolewe madarakani
Trump ni mtu wa kulazimisha si kuua
Washaanza kumuita DIKTETA
Mkuu kwenye neno 'aliyeonyesha ujasiri mkubwa'Najiuliza sana inakuwaje watu wanafurahia mafanikio ya dikteta Putin hata kwa kupewa msaada na Rais wa Marekani? Halafu wanamchukia mtu aliyeonyesha ujasiri mkubwa wa kuongoza nchi yake dhidi ya uvamizi wa nchi kubwa sana kuwazidi?
Maoni ya Waafrika yanashangaza. Zelenskyy angeongea kinyonge na kukubali kila dharau aliyofanyiwa yeye na nchi yake na kusisitiza maombi ya msaada wa Marekani, comment za kumdharau zingejaa hapa JF hasa kwa wengi wanaoichukia Marekani, NATO na Ukraine yenyewe.
Sasa kajitutumua mbele ya Trump na media yake, bado anachekwa na kuitwa mjinga, hana akili, eti kadharaulishwa sana! Wengi hawajafuatilia kwa umakini kampeni mbaya ya Trump na mawaziri wake dhidi ya Ukraine waliyofanya tangu wiki iliyopita kule Ulaya na Saudi Arabia wakishirikiana na Urusi na katika mazungumzo ya simu kati ya Trump na Putin.
Putin inajulikana madai yake ya msingi tangu aingie madarakani 1999 ni kuwa Ukraine ni sehemu halali ya Urusi iliyojitenga kwa makosa ya kihistoria. Na kwamba njama za mabeberu zinataka kutenganisha kabisa undugu ulioko kati ya watu wa Ukraine na Urusi. Trump anafahamu habari hiyo. Ndio maana amekuwa akimkumbusha Zelenskyy kuwa akileta ujinga atajikuta hana nchi. AU siku moja Ukraine itakuwa Jimbo la Urusi.
Neither way, Zelenskyy can win. Hakuna Zelenskyy atakachofanya aonekane wa maana. Leo kaonyesha kukata tamaa kabisa na kuamua kusema ovyo. Bila shaka, ili yawepo angalau maelewano hata ya kubabaisha kati ya Ukraine na USA, itabidi Zelenskky ajiuzulu apishe Rais mwingine atakeyebeba zigo la kukabiliana na US na Putin. Sidhani kama Trump atataka tena kukutana na Zelenskyy.
Mashabiki wa miamba "strongmen" hasa Putin, roho zao zinazidi kuwa kwatu. Jeuri aliyoonyesha Zelenskyy miaka mitatu itakuwa imefutiliwa mbali! Kwamba sasa Putin atazidi kufanikiwa!
Najiuliza sana inakuwaje watu wanafurahia mafanikio ya dikteta Putin hata kwa kupewa msaada na Rais wa Marekani? Halafu wanamchukia mtu aliyeonyesha ujasiri mkubwa wa kuongoza nchi yake dhidi ya uvamizi wa nchi kubwa sana kuwazidi?
Hii ni hulka ya namna gani? Kama vile naanza sasa kuelewa ilikuwaje Waafrika wakazolewa utumwani kwa maelfu bila resistance ya maana.
Trump: "If you didn't have our equipment this war would have been over in three weeks".
Zelenskyy: "In three days, I heard it from Putin, in three days".
Such insolence!
kati ya watu walioaibishwa mno leo hii, zelesky ni wa kwanza dunia nzima. wamemshambulia kama mtoto mdogo, hawajamheshimu kama rais. ila na yeye ni noma, amepambana, amemjibu trump apendavyo na ameondoka bila kusaini chochote, na kamwambia trump hataki majadiliano yoyote na urusi ambayo yatahusisha marekani, maana yake ni kwamba hamwamini trump kwenye mazungumzo hayo. kawanyoosha wamarekani hadi wanalalamika kuwa ameidharau white house tena akiwa ndani mle mle.
ninachokiona, soon atauawa ili aje rais mwingine atakayewapa wamarekani hayo madini. mark my words.
Hiyo Zelensky ni mpumbavu tuHAKUNA ATAMAYEMUUA ZELENKIY TAFUTA HISTORIA YAKE UTAJUA KAMA KUFA ANGEKUFA KITAMBO HUMU WATU WASIOJIELEWA WANATEYE upumbavu ZELE ALIALIKWA HUWEZI MUALLIKA MGENI KISHA UNSMTUKANA KUMUWEKA CHINI US PIA THEY NEED HIM WANAHITAJI RARE EARTH BIT HUWEZI KUHITAJI KITU BY BLACKMAILING SOMEONE
Umelishwa Matango pori kabla vita ya Ukraine Urusi amevamia nchi gani nyingine na kuchukua maeneo??Usalama wa Ukraine ndio Usalama wa bara lote la Ulaya, hususani Ulaya Magharibi.
Ukraine ikishindwa Vita maana yake ni kwamba Ulaya yote kabisa itakuwa imetekwa na Urusi. Hili litakuwa jambo baya sana tena ni jambo la hatari kubwa sana kupita kiasi kwa maisha ya Watu wote kabisa wa bara la Ulaya.
Kwa hali kama hiyo, ni Bora Watu wa Ulaya waingie katika Vita ya Tatu ya dunia kuliko kuruhusu Urusi ishinde Vita hiyo.
Kwanza kabisa, lengo Kuu mojawapo la kuanzishwa kwa NATO ilikuwa ni kupambana na Udikteta wa Watawala wababe wa Urusi.
Urusi ikishinda Vita hii, bado ataendelea kuteka maeneo mengine zaidi na zaidi hadi Ulaya yote kabisa iwe chini ya Utawala wa Urusi, Putin hataishia kuiteka Ukraine peke yake.
Umelishwa Matango pori kabla vita ya Ukraine Urusi amevamia nchi gani nyingine na kuchukua maeneo??
Urusi haikutaka kamwe kumuua Zelensky kwasababu walitaka aumie kuona matukio yote ya maangamizi kwenye nchi yake ila kwasaaa kuna uwezekano wa Zelensky kuuawa na Mamluki wa Marekani.Zelensky anategemea kila kitu kwenye kupigana kwake kutoka USA. Satellite ya kijeshi hana anategemea ya Elon Musk.Wakimkatia msaada wiki 2 hamna kitu atakachofanya zaidi nchi yake itamegwa zaidi.
Control room inaendeshwa kwa msaada wa NATO. Ukraine haina silaha haina satellite ya kijeshi kufuatilia mwenendo wa adui yake na kuelekezea mashambulizi kwa adui wake. Kibaya zaidi hana wanajeshi, mamluki kutoka nchi za NATO ndiyo wanamsaidia.
Kubishana na Trump ni kuleta maangamizi kwenye nchi yake na wala haimeletei sifa. Sasa akubali moja, Putin akubali kuimega nchi yake au aingie dili na USA?
Hajachukua ila lengo la Urusi ni kuchukua Dominion zote zilizokuwa chini yake wakati USSR ikiwa na nguvu kubwa zaidi Ulaya yoteUmelishwa Matango pori kabla vita ya Ukraine Urusi amevamia nchi gani nyingine na kuchukua maeneo??
Hata Zelensky ni rais Ukraine, lazima atetee maslah ya watu wake.View attachment 3253719
Trump ni Rais wa watu wa Marekani, ni lazima atetee maslahi ya watu wake
Hata sisi watanzania tunatamani tupate kiongozi wa kutetea maslahi yetu
Nimefuatilia vijana wa Marekani wanampenda sana Rais wao
Hawa CNN na BBC wanatudanganya tu
analipia hiyo satellite hatumii bure ndio maana kuna kipindi elon alikuw anauza info za kimtandao za wanajeshi walioko frontline kwa russiaZelensky anategemea kila kitu kwenye kupigana kwake kutoka USA. Satellite ya kijeshi hana anategemea ya Elon Musk.Wakimkatia msaada wiki 2 hamna kitu atakachofanya zaidi nchi yake itamegwa zaidi.
Control room inaendeshwa kwa msaada wa NATO. Ukraine haina silaha haina satellite ya kijeshi kufuatilia mwenendo wa adui yake na kuelekezea mashambulizi kwa adui wake. Kibaya zaidi hana wanajeshi, mamluki kutoka nchi za NATO ndiyo wanamsaidia.
Kubishana na Trump ni kuleta maangamizi kwenye nchi yake na wala haimeletei sifa. Sasa akubali moja, Putin akubali kuimega nchi yake au aingie dili na USA?
Anawatetea au anawaangamiza ?View attachment 3253719
Trump ni Rais wa watu wa Marekani, ni lazima atetee maslahi ya watu wake
Hata sisi watanzania tunatamani tupate kiongozi wa kutetea maslahi yetu
Nimefuatilia vijana wa Marekani wanampenda sana Rais wao
Hawa CNN na BBC wanatudanganya tu
Kudadekii kumbe hawa viongozi wetu wakienda huko kuomba misaada huwa wanasemwa hivi km watoto.. lazima wawe mafisadi yani imagine unasemwa kwa niaba ya watu million 65 wote..kwanini usichukue hela dadeki..Huyu mbabu ana huruma sana na maisha ya watu
Yeye vita zake za kibiashara sio za kumwagana damu