Angalia: Zitto na dadaye, Lissu na dadaye, Ndesa na mwanawe, Dr Slaa na mkewe, Ndesa na mkwewe. Je, Viti Maalumu CHADEMA huzingatia mahusiano?

i.
Hivi je vip huko Swiss me kma.
1.Dotto James na ............

2.Jumanne Maghembe na Iddrissa Maghembe mbunge EAC.

3.Anne KilangoMalecela na Mme wake

4.Uncle Benja lkn cyo yule benja wa Mambo Jambo na Wanae wawili ambao n Majaji ?

Hapo hatujatoa list ya watoto na baba zao Wababu na vilembwe na vilembwekeza vyao huko Swiss me

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Wewe mbona ni viti maalum
Najaribu tu kuwakumbusha wale wanaomwandama Mbowe kwamba aliwanyanyasa kijinsia baadhi ya wabunge wa viti maalumu Chadema. Kiukweli mnamuonea bure kabisa mwenyekiti.

Utaratibu wa kuwapata wabunge wa viti maalumu umekuwa na sintofahamu tokea chama hicho kiasisiwe.

Nitoe mifano michache ya wabunge waliokuwa na uhusiano na viongozi wa Chadema na wakateuliwa kutumikia viti maalumu

Katibu mkuu Dr Slaa na " mama watoto" wake Rose Kamili

Naibu Katibu mkuu Zitto Kabwe na dada yake

Mwanasheria wa Chama mzee Marando na shemejie Chiku Abwao

Mjumbe wa CC/mwanasheria Tundu Lisu na dada yake rip

Mjumbe wa CC Ndesamburo rip na mkwewe Grace

Mjumbe wa CC Ndesamburo rip na mwanae Owenya

Katika mazingira kama hayo anayelalamika anapaswa kuzungumzia mfumo mzima na siyo kumsimanga Mbowe ambaye hajampa ubunge ndugu yake yoyote.

Kama huna mtu wa kukubeba basi ni lazima utatumia mbinu za ziada kwahiyo unapolialia baadae ni kwamba ama unajidharirisha au unatangaza biashara kwa chama chako kipya.

Maendeleo hayana vyama!

In God we Trust
 
1. Anna Abdallah vs Spika Mstaafu
2. Bulembo vs bint yake
3. Magret Sita vs Spika Marehemu
4. Mama Salama vs Rais Mstaafu
5.
6.

Labda waliiga huku
Usha wafukuza manyumbu

In God we Trust
 
Hizi tuhuma si za leo walal jana, Kuna kipindi CCM walisema CDM walimuingiza Mama Slaa Ubunge viti maalum bila kufuata taratibu za kichama..Kwamba DR Slaa alitumia cheo chake kufanikisha hilo lla kumpachika mkewe.
 
Najaribu tu kuwakumbusha wale wanaomwandama Mbowe kwamba aliwanyanyasa kijinsia baadhi ya wabunge wa viti maalumu Chadema. Kiukweli mnamuonea bure kabisa mwenyekiti.

Utaratibu wa kuwapata wabunge wa viti maalumu umekuwa na sintofahamu tokea chama hicho kiasisiwe.

Nitoe mifano michache ya wabunge waliokuwa na uhusiano na viongozi wa Chadema na wakateuliwa kutumikia viti maalumu

Katibu mkuu Dr Slaa na " mama watoto" wake Rose Kamili

Naibu Katibu mkuu Zitto Kabwe na dada yake

Mwanasheria wa Chama mzee Marando na shemejie Chiku Abwao

Mjumbe wa CC/mwanasheria Tundu Lisu na dada yake rip

Mjumbe wa CC Ndesamburo rip na mkwewe Grace

Mjumbe wa CC Ndesamburo rip na mwanae Owenya

Katika mazingira kama hayo anayelalamika anapaswa kuzungumzia mfumo mzima na siyo kumsimanga Mbowe ambaye hajampa ubunge ndugu yake yoyote.

Kama huna mtu wa kukubeba basi ni lazima utatumia mbinu za ziada kwahiyo unapolialia baadae ni kwamba ama unajidharirisha au unatangaza biashara kwa chama chako kipya.

Maendeleo hayana vyama!
Uongozi wa kisiasa unatokana/anapata mtu kwa kufanya siasa.

Anayethubutu na kushawishi kisiasa atapata uongozi kwa vigezo vilivyowekwa kisiasa.

Atakayejitokeza kugombea, akadhinda atapata uongozi. Bila kujali watatokea ndugu wangapi ktk uongozi, kikubwa wapitie michakato ya kisiasa.

Teuzi kwa watu ambao Wana uhusiano kindugu usitufanye tutofautiane iwe CDM au chama kingine. Sote tuna haki....

Unataka utafutwe ulikojificha uteuliwe bila kujitokeza kwenye majukwaa ya kisiasa....

Piga/fanya siasa utateuliwa au utashinda, acha kulaumu watu.
 
Najaribu tu kuwakumbusha wale wanaomwandama Mbowe kwamba aliwanyanyasa kijinsia baadhi ya wabunge wa viti maalumu Chadema. Kiukweli mnamuonea bure kabisa mwenyekiti.

Utaratibu wa kuwapata wabunge wa viti maalumu umekuwa na sintofahamu tokea chama hicho kiasisiwe.

Nitoe mifano michache ya wabunge waliokuwa na uhusiano na viongozi wa Chadema na wakateuliwa kutumikia viti maalumu

Katibu mkuu Dr Slaa na " mama watoto" wake Rose Kamili

Naibu Katibu mkuu Zitto Kabwe na dada yake

Mwanasheria wa Chama mzee Marando na shemejie Chiku Abwao

Mjumbe wa CC/mwanasheria Tundu Lisu na dada yake rip

Mjumbe wa CC Ndesamburo rip na mkwewe Grace

Mjumbe wa CC Ndesamburo rip na mwanae Owenya

Katika mazingira kama hayo anayelalamika anapaswa kuzungumzia mfumo mzima na siyo kumsimanga Mbowe ambaye hajampa ubunge ndugu yake yoyote.

Kama huna mtu wa kukubeba basi ni lazima utatumia mbinu za ziada kwahiyo unapolialia baadae ni kwamba ama unajidharirisha au unatangaza biashara kwa chama chako kipya.

Maendeleo hayana vyama!
Bulembo na mwanae wote wabunge wa kuteuliwa yani ladies free,mama sita na mwanae.ridhiwan na mama yake vipi niongezee sautiiiiii
 
Back
Top Bottom