Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
StepmomBulembo na bintie; Ridhwani na mama yake..........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
StepmomBulembo na bintie; Ridhwani na mama yake..........
Ccm hawajawahi kuwa wastaarabuThread za aina hii zilikuwa zinaletwa zamani sana kabla jamii haijastaarabika, endeleeni, mnachokitafuta mtakipata na zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Najaribu tu kuwakumbusha wale wanaomwandama Mbowe kwamba aliwanyanyasa kijinsia baadhi ya wabunge wa viti maalumu Chadema. Kiukweli mnamuonea bure kabisa mwenyekiti.
Utaratibu wa kuwapata wabunge wa viti maalumu umekuwa na sintofahamu tokea chama hicho kiasisiwe.
Nitoe mifano michache ya wabunge waliokuwa na uhusiano na viongozi wa Chadema na wakateuliwa kutumikia viti maalumu
Katibu mkuu Dr Slaa na " mama watoto" wake Rose Kamili
Naibu Katibu mkuu Zitto Kabwe na dada yake
Mwanasheria wa Chama mzee Marando na shemejie Chiku Abwao
Mjumbe wa CC/mwanasheria Tundu Lisu na dada yake rip
Mjumbe wa CC Ndesamburo rip na mkwewe Grace
Mjumbe wa CC Ndesamburo rip na mwanae Owenya
Katika mazingira kama hayo anayelalamika anapaswa kuzungumzia mfumo mzima na siyo kumsimanga Mbowe ambaye hajampa ubunge ndugu yake yoyote.
Kama huna mtu wa kukubeba basi ni lazima utatumia mbinu za ziada kwahiyo unapolialia baadae ni kwamba ama unajidharirisha au unatangaza biashara kwa chama chako kipya.
Maendeleo hayana vyama!
Bulembo na bintie; Ridhwani na mama yake..........
Usha wafukuza manyumbu1. Anna Abdallah vs Spika Mstaafu
2. Bulembo vs bint yake
3. Magret Sita vs Spika Marehemu
4. Mama Salama vs Rais Mstaafu
5.
6.
Labda waliiga huku
Kheee.......hiyo naisikia kwako bwashee japo najua Lipumba alikuwa na mke wa kichagga pale Sinza!
Twende na ACT kwasasa, CCM miaka 60 wanazurula tu hawajui watanzania tunataka nini, chadema wanagawa ubunge kama urithi.. [emoji3525][emoji3525][emoji3525]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana. Hiyo nafasi nimekuachia wwe maana inaonekana unaimudu vizuri sana.Ulitaka wewe ndiyo uwe nyumba ndogo yake?
In God we Trust
Wacha iwe hivyo.. [emoji23] [emoji23]Upinzani ndani ya upinzani
In God we Trust
Hapana. Hiyo nafasi nimekuachia wwe maana inaonekana unaimudu vizuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka niwe muungwana kwakuwa mbowe amefanya jambo la kiungwana sana kuwa na kimada mpaka amezaa nacho. Pole sana ndugu yangu najua mahaba yanakusumbuaBasi funga milango ya umbea na fungua ya uungwana
In God we Trust
Unataka niwe muungwana kwakuwa mbowe amefanya jambo la kiungwana sana kuwa na kimada mpaka amezaa nacho. Pole sana ndugu yangu najua mahaba yanakusumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasabb tu ya kumsema mbowe. Basi simsemi tena ili IQ yangu iwe kubwaIQ yako ipo low sana
In God we Trust
Uongozi wa kisiasa unatokana/anapata mtu kwa kufanya siasa.Najaribu tu kuwakumbusha wale wanaomwandama Mbowe kwamba aliwanyanyasa kijinsia baadhi ya wabunge wa viti maalumu Chadema. Kiukweli mnamuonea bure kabisa mwenyekiti.
Utaratibu wa kuwapata wabunge wa viti maalumu umekuwa na sintofahamu tokea chama hicho kiasisiwe.
Nitoe mifano michache ya wabunge waliokuwa na uhusiano na viongozi wa Chadema na wakateuliwa kutumikia viti maalumu
Katibu mkuu Dr Slaa na " mama watoto" wake Rose Kamili
Naibu Katibu mkuu Zitto Kabwe na dada yake
Mwanasheria wa Chama mzee Marando na shemejie Chiku Abwao
Mjumbe wa CC/mwanasheria Tundu Lisu na dada yake rip
Mjumbe wa CC Ndesamburo rip na mkwewe Grace
Mjumbe wa CC Ndesamburo rip na mwanae Owenya
Katika mazingira kama hayo anayelalamika anapaswa kuzungumzia mfumo mzima na siyo kumsimanga Mbowe ambaye hajampa ubunge ndugu yake yoyote.
Kama huna mtu wa kukubeba basi ni lazima utatumia mbinu za ziada kwahiyo unapolialia baadae ni kwamba ama unajidharirisha au unatangaza biashara kwa chama chako kipya.
Maendeleo hayana vyama!
Bulembo na mwanae wote wabunge wa kuteuliwa yani ladies free,mama sita na mwanae.ridhiwan na mama yake vipi niongezee sautiiiiiiNajaribu tu kuwakumbusha wale wanaomwandama Mbowe kwamba aliwanyanyasa kijinsia baadhi ya wabunge wa viti maalumu Chadema. Kiukweli mnamuonea bure kabisa mwenyekiti.