Angalieni juu muda huu mwezi una rangi nyekundu alafu haraka sana

Angalieni juu muda huu mwezi una rangi nyekundu alafu haraka sana

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,380
Reaction score
1,686
Ni saa 22:09 nimeangalia juu nimekuta mwezi upo spidi kuelekea chini ukiwa na rangi nyekundu tii.

Upo spidi kiasi cha kushindwa hata kwenda ndani kuchukua simu yangu na kuurekodi.

Mikoa ya nyanda za juu jalibuni kuuangalia muda huu.

Update
Story iko hivi,.
Nimetoka rod kuja home saa 20:30 nimeukata mwezi upo usawa wa paa la nyumba yangu. Nilipofika home nikaingia ndani nikawa nachek movies baada ya mda yaani ndio saa 22:09 natoka tena nje naenda msalani jisaidia maana msala upo mbali kidogo na eneo la nyumba naukuta MWEZI upo maeneo ya kama yale yale tena kwa chini tu kidogo ukiwa umebadilika rangi na upo haraka sana yaani kama ulisimama hivi.,
 
I gooutside i dont see the moon i see stars and my neighbours are keep gossipng
 
Screenshot_20230820-222828_(1).png
 
Back
Top Bottom