Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
- Thread starter
- #41
Ee ndio hivyo mimi pia niliuona ukiwa kawaida mida ya mbili kwenda saa 3 ila ilipofika saa 4 ulikazana sana. Najaribu kuwaeleza watu humu hawataki kunielewa kabisa.Mie mida ya saa mbili nimeuona upo kawaida tu, ndo naingia jf saiv naiona hii thread, natoka nje nihakiki ila cha ajabu siuoni mwezi angani.