Angalieni juu muda huu mwezi una rangi nyekundu alafu haraka sana

Angalieni juu muda huu mwezi una rangi nyekundu alafu haraka sana

Kama umepotea inamanisha huko kwenu hakuna mwez had muda huu
 
𝒌𝒖𝒏𝒂 𝒔𝒉𝒊𝒅𝒂 𝒌𝒂𝒕𝒊𝒌𝒂 𝒖𝒃𝒐𝒏𝒈𝒐 𝒘𝒂𝒌𝒐
 
𝒂𝒍𝒂𝒇𝒖 𝒏𝒊 𝒕𝒂𝒓𝒆𝒉𝒆 𝒛𝒂 𝒎𝒘𝒊𝒔𝒉𝒐 𝒂𝒖 𝒘𝒘 𝒏𝒊 𝒘𝒂𝒍𝒆 𝒘𝒂 𝒎𝒘𝒆𝒛𝒊 𝒎𝒄𝒉𝒂𝒏𝒈𝒂
 
Itakuwa umechelewa mimi mwenyewe ile kuingia tu kuchukua simu hata nirekod video nimetoka umeshapotea maana ulikuwa haraka sana
Ulichokiona sio mwezi, hauna tabia hizo. Je ulikuwa na umbo robo kama unavyotakiwa kuwa leo? Labda utakuwa umeona ISS. Je umeshawahi kuona ISS?
Spidi ya ulichokiona wewe zinaendana?
 
Ulichokiona sio mwezi, hauna tabia hizo. Je ulikuwa na upo robo kama unavyotakiwa kuwa leo? Labda utakuwa umeona ISS. Je umeshawahi kuona ISS?
Spidi ya ulichokiona wewe zinaendana?
Ulikuwa robo kama nilivyouona awali
 
Ingekuwa ni jua ☀️ ningesema dunia imeongeza speed,.
Ila ngoja nione mpaka asubuhi wenda na jua likakazana sana kesho.
 
Ni saa 22:09 nimeangalia juu nimekuta mwezi upo spidi kuelekea chini ukiwa na rangi nyekundu tii.
Upo spidi kiasi cha kushindwa hata kwenda ndani kuchukua simu yangu na kuurekodi...
Mie mida ya saa mbili nimeuona upo kawaida tu, ndo naingia jf saiv naiona hii thread, natoka nje nihakiki ila cha ajabu siuoni mwezi angani.
 
Back
Top Bottom