Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
- Thread starter
-
- #21
Kabisa, yaani ile kuingia tu ndani haupo yaani ni kama ulikuwa umesimama mahari hiviMwezi hauwezi kwenda kazi kiasi hivyo, yani uchukue simu uwe umeshapotea
Sawa, ni nyandaACHA Ushamba.
Kanda za juu ndio wapi?????????
ELIMU.
ELIMU.
ELIMU.
Sasa unachukia nini?? So niseme uongoπ‘
Kama si bangi hao wataalamu wa Hanga ni nini? Msipende kulichanganya na mavi ya sungura.Sio bangi mzee ngoja kesho tutasikia kwenye wataalamu wa Hanga
Gary Daniels?ππwanashoot movie ya BloodMoon -2 ya Gary basi
Ulichokiona sio mwezi, hauna tabia hizo. Je ulikuwa na umbo robo kama unavyotakiwa kuwa leo? Labda utakuwa umeona ISS. Je umeshawahi kuona ISS?Itakuwa umechelewa mimi mwenyewe ile kuingia tu kuchukua simu hata nirekod video nimetoka umeshapotea maana ulikuwa haraka sana
π΄πΆβπ«οΈSasa unachukia nini?? So niseme uongo
Unavuta bangiπ΄πΆβπ«οΈ
π₯Ίππππ ππππ π ππππππ ππππππ ππππ
Ulikuwa robo kama nilivyouona awaliUlichokiona sio mwezi, hauna tabia hizo. Je ulikuwa na upo robo kama unavyotakiwa kuwa leo? Labda utakuwa umeona ISS. Je umeshawahi kuona ISS?
Spidi ya ulichokiona wewe zinaendana?
π©π«π€§π€Unavuta bangi
Halafu mnarushwa rushwaπ©π«π€§π€
πHalafu mnarushwa rushwa
Mie mida ya saa mbili nimeuona upo kawaida tu, ndo naingia jf saiv naiona hii thread, natoka nje nihakiki ila cha ajabu siuoni mwezi angani.Ni saa 22:09 nimeangalia juu nimekuta mwezi upo spidi kuelekea chini ukiwa na rangi nyekundu tii.
Upo spidi kiasi cha kushindwa hata kwenda ndani kuchukua simu yangu na kuurekodi...