Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
- Thread starter
-
- #41
Ee ndio hivyo mimi pia niliuona ukiwa kawaida mida ya mbili kwenda saa 3 ila ilipofika saa 4 ulikazana sana. Najaribu kuwaeleza watu humu hawataki kunielewa kabisa.Mie mida ya saa mbili nimeuona upo kawaida tu, ndo naingia jf saiv naiona hii thread, natoka nje nihakiki ila cha ajabu siuoni mwezi angani.
π‘πBangi ukiivuta hukuonesha mambo ambayo kwa akili ya kawaida huwa huyaoni na kuyachukulia umuhimu
Kiukweli mwezi leo umetembea haraka sana ilipofika saa 4. Na ukabadilika adi rangi.Au ilikuwa π½ hiyo au mwezi ilikuwa unataka kuanguka? Kwakweli saa hii siuoni kabisa angani tena.
ππ€Bangi ukiivuta hukuonesha mambo ambayo kwa akili ya kawaida huwa huyaoni na kuyachukulia umuhimu
π‘π₯Tena bangi ya nyanda za juu kusini ni hataree!!
Jf huwa ina elimisha na kufurahisha pia, take it easy mkuu.Ee ndio hivyo mimi pia niliuona ukiwa kawaida mida ya mbili kwenda saa 3 ila ilipofika saa 4 ulikazana sana. Najaribu kuwaeleza watu humu hawataki kunielewa kabisa.
πJf huwa ina elimisha na kufurahisha pia, take it easy mkuu.
Wewe mwenyewe pia hauna elimu, ngoja nikupe elimu kidogo ya matumizi ya hizi herufi kubwa na ndogo (capitalization rules).ACHA Ushamba.
Kanda za juu ndio wapi?????????
ELIMU.
ELIMU.
ELIMU.
πΆβπ«οΈπ€¨π€Kijana mwezi wa kazi gani sisi DPW tushawapa chenu tulikuja kuuchukua kwa fidia ya bandar .skuingine acha umbea sa ulikuwa unaangalia nn.
nowdays navutiwa kusoma comments zako mkuu πI gooutside i dont see the moon i see stars and my neighbours are keep gossipng
thank you and i think you can teach me to speak english well mrnowdays navutiwa kusoma comments zako mkuu π
Worry out boss [emoji4]thank you and i think you can teach me to speak english well mr