Angalieni wenyewe Tanesco wanavyofanya kazi

Angalieni wenyewe Tanesco wanavyofanya kazi

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
11,422
Reaction score
6,108
Leo ni wiki inafika na sijapata huduma.

inbound2034049037034497697.jpg
inbound8920708050435398782.jpg
inbound8635265011064543050.jpg
inbound763217920533251403.jpg
inbound8876619395419237514.jpg

Update :
Leo tarehe 21/12/2024 saa tisa na dakika 35 tanesco wamefika na wametatua tatizo
Asante sana meneja asante sana mdau Sope suazo kwa kunipa namba ya meneja
Asante mafundi walionihudumia
Asante TANESCO
 
Kwa anaejua tafadhali, nateseka sana na joto na umbu, anaweza kunielekeza niendee wapi kupata huduma
 
Hembu imagine kariakoo ni hivi, hao wa huko ndani ndani inakuweje?
 
Nitakuwa na utaratibu huo sasa, kila asubuhi na jioni kuwakumbusha mpaka itakapopatikana haki yangu kwa kuwa wajibu wangu nautekeleza kiusahihi TANESCO
 
Taja eneo ulilopo then wacheki PM watakujibu na kukufanyia Kazi yako haraka

Mimi naongea Kama Afisa
Nipo narungombe /likoma street kariakoo
Na hapo juu nimeweka namba zote za ripoti na nyingine ninazo

Tangu tarehe 15/12/2024 saa 10:34 jioni siku ya jumapili mpaka mda huu unadhani ni dharau ya kitoto hiyo?

Haya bwana ofisa nimekutajia kila kitu tuone uofisa wako sasa
 
Leo tatizo litakuwa solved na usisahu kuleta mrejesho.
 
Back
Top Bottom