Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,343
- 7,516
Kinachonikera zaidi kuhusu call center zao, wameweka watu wasio na uelewa kabisaaa na masuala ya umeme!
Unaeleza tatizo, anachoweza kukuambia ni kuwa TUNASHUGHULIKIA, MAFUNDI WETU WATAFIKA KUREKEBISHA.
Unaeleza tatizo, anachoweza kukuambia ni kuwa TUNASHUGHULIKIA, MAFUNDI WETU WATAFIKA KUREKEBISHA.
- Wakati huo unaongea na call center, gari ya emergency unaiona imepaki bar, jamaa hawana habari, dereva yuko guest huko...
- Ikifika saa 4 usiku, wanafunga kazi, kwa hesabu zao, dharula mwisho ni saa 4 usiku.