pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
- Thread starter
- #41
Angalieni hapa wanavyofanya uhuni
Saa 7:24 wamenipa namba nyingine ya report
Halafu saa 7:41 eti wananitumia msg taarifa ineshafanyiwa kazi, huu ni uongo wa hali ya juu, haijafanyiwa kazi na haiwezekani ifanyiwe ndani ya hizo dakika
Angalieni wenyewe