Angalieni wenyewe Tanesco wanavyofanya kazi

Nimekuwa nikipewa ticketi namba tangu siju ya jumapili hadi leo hii asubuhi hii saa tatu nimepiga tena simu na kujibiwa tunasisitizia endelea kusubiri
 
Kwa anaejua tafadhali, nateseka sana na joto na umbu, anaweza kunielekeza niendee wapi kupata huduma
 
Hembu imagine kariakoo ni hivi, hao wa huko ndani ndani inakuweje?
 
Nitakuwa na utaratibu huo sasa, kila asubuhi na jioni kuwakumbusha mpaka itakapopatikana haki yangu kwa kuwa wajibu wangu nautekeleza kiusahihi TANESCO
 
Halafu nyie TANESCO mjue mimi ni ccm, kwani nani kawaambia mimi ni chadema mpaka mninyime huduma?
 
Taja eneo ulilopo then wacheki PM watakujibu na kukufanyia Kazi yako haraka

Mimi naongea Kama Afisa
Nipo narungombe /likoma street kariakoo
Na hapo juu nimeweka namba zote za ripoti na nyingine ninazo

Tangu tarehe 15/12/2024 saa 10:34 jioni siku ya jumapili mpaka mda huu unadhani ni dharau ya kitoto hiyo?

Haya bwana ofisa nimekutajia kila kitu tuone uofisa wako sasa
 

Leo tatizo litakuwa solved na usisahu kuleta mrejesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…