Angalieni wenyewe Tanesco wanavyofanya kazi

Kinachonikera zaidi kuhusu call center zao, wameweka watu wasio na uelewa kabisaaa na masuala ya umeme!

Unaeleza tatizo, anachoweza kukuambia ni kuwa TUNASHUGHULIKIA, MAFUNDI WETU WATAFIKA KUREKEBISHA.
  • Wakati huo unaongea na call center, gari ya emergency unaiona imepaki bar, jamaa hawana habari, dereva yuko guest huko...
  • Ikifika saa 4 usiku, wanafunga kazi, kwa hesabu zao, dharula mwisho ni saa 4 usiku.
 
Umesema kweli kabisa
 
pole kwa changamoto uliyoipata mkuu
0735230784 Regional Manager Tanesco Ilala
Piga simu mtumie na hizo sms ndani ya muda mfupi utakuwa umehudumiwa
Kwaniaba ya TANESCO tunaomba radhi kwa usumbufu uliyojitokeza pye Chang shen
 
Natamani kuwatukana, sema tu mimi mvumilivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…