pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
- Thread starter
-
- #41
Kama wiki nzima imeshindikana ndio iwezekane ndani ya dakika 20?Angalieni hapa wanavyofanya uhuni
Saa 7:24 wamenipa namba nyingine ya report
Halafu saa 7:41 eti wananitumia msg taarifa ineshafanyiwa kazi, huu ni uongo wa hali ya juu, haijafanyiwa kazi na haiwezekani ifanyiwe ndani ya hizo dakika
Angalieni wenyewe
Mkuu Nimempigia hapokei simu, ila nimeshamtumia msg na zile nambaREGINA MATHEW MVUNGI
Asante mkuu kwa namba ya meneja niliwasiliana nae na kazi imefanykapole kwa changamoto uliyoipata mkuu
0735230784 Regional Manager Tanesco Ilala
Piga simu mtumie na hizo sms ndani ya muda mfupi utakuwa umehudumiwa
Kwaniaba ya TANESCO tunaomba radhi kwa usumbufu uliyojitokeza pye Chang shen