Angalizo kwa BOT baada ya riba za mikopo kuanza kushuka

Reducing balance na FLAT rate ipi nzuri?
 
Una hulka za kichawi, hakika nakwambia kwa tabia hii uliyonayo ya kutokuwa na appreciation hakika utakufa Maskini. Una wivu sana Dada kama hujaolewa sahau hilo dadangu maaana si kwa gubu hilo.
 
Bishaneni kisha mje mkope... Tunawangoja... Sie ni kama maji, usipotunywa utatuoga, ama sivyo utatukuta kwenye ule mlo wako pendwa.
 
Kwaiyo kupunguza riba kwa mkopaji kwa nchi masikini kama yetu haiwezekani?
 
Una hulka za kichawi, hakika nakwambia kwa tabia hii uliyonayo ya kutokuwa na appreciation hakika utakufa Maskini. Una wivu sana Dada kama hujaolewa sahau hilo dadangu maaana si kwa gubu hilo.
Appreciation for who?
Do u know what we are talking abt here Malaya Mzee??
 
Bishaneni kisha mje mkope... Tunawangoja... Sie ni kama maji, usipotunywa utatuoga, ama sivyo utatukuta kwenye ule mlo wako pendwa.
[emoji1] [emoji1] una wachora tu mkuu.
 
Waandishi wa habari wengi vilaza hilo swali walitakiwa kuhoji lakini unakuta wamekodoa macho tu nakubaliana na serikali mwandishi wa habari lazima awe na digrii

Ni kweli usemacho. Lkn Hilo haliwezekani. Mkataba wako wa awali na benk utabaki Kama ulivyo. Jiulize je wangepandisha riba na ww ulikopa mwaka Jana hiyo riba ungekubali?
 
Ni kweli usemacho. Lkn Hilo haliwezekani. Mkataba wako wa awali na benk utabaki Kama ulivyo. Jiulize je wangepandisha riba na ww ulikopa mwaka Jana hiyo riba ungekubali?
Uki top-up mkopo ni riba iba inatumika ya mwanzo au ya sasa?
 
Na kweli tunaye mungu-mtu...yeye ndiye Katiba, yeye ndiye Bunge na yeye ndiye Mahakama. Kuna siku ataamua mvua inyeshe au isinyeshe, mwanga uwepo au usiwepo, upepo uvume au usivume...
 
Mkuu hebu toa somo kidogo kuhusu reducing balance na flat rate tofauti yake AU Inakokotolewa vipi kama interest ni 17% na mkopaji amekopa 20million kwa miaka 5.
Ili watu waone tofauti Mkuu MTAZAMO
 
Hahaha ila bank za bongo dah mfano unakatwa makato labda 500,000 kwa mwezi reducing balance maana yake interest itapungua lakini principal itaongeka kila mwezi lkn jumla yake itabaki pale pale

May
Principal interest total deduction
320,000 180,000 500,000

JUNE
May
Principal interest total deduction
340,000 160,000 500,000

Julai
Principal interest total deduction
360,000 140,000 500,000

Lakini kumbuka pamoja na kukatwa 500,000 kinachopunguza deni ni principal unaweza katwa mwaka ukaomba loan statements ukakuta umekatwa pesa nyingi lkn deni limepungua kdg san TUWE MAKINI TU

HAHAHAHAHA
 
Vipi kuhusu ujambazi wa mchana kweupe kwenye michango ya wanachama kwenye mifuko ya hifadhi za jamii. Sheria inasainiwa haraka haraka na kuanza kutumika tarehe 01.04.2018 ili kusudi watu wasichukue mafao ya kujitoa kwenye huu ujambazi. Mtu ameachishwa kazi ana miaka 28, unamwambia hagusi chochote hadi afikishe miaka 55. Hii dhuluma haitawaacha salama.
 
Kwaiyo ushauri wako au methods ipi nzuri kati FLAT rate au reducing balance?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…