Hahaha ila bank za bongo dah mfano unakatwa makato labda 500,000 kwa mwezi reducing balance maana yake interest itapungua lakini principal itaongeka kila mwezi lkn jumla yake itabaki pale pale
May
Principal interest total deduction
320,000 180,000 500,000
JUNE
May
Principal interest total deduction
340,000 160,000 500,000
Julai
Principal interest total deduction
360,000 140,000 500,000
Lakini kumbuka pamoja na kukatwa 500,000 kinachopunguza deni ni principal unaweza katwa mwaka ukaomba loan statements ukakuta umekatwa pesa nyingi lkn deni limepungua kdg san TUWE MAKINI TU
HAHAHAHAHA