Angalizo kwa BOT baada ya riba za mikopo kuanza kushuka

Mkuu number of year na number of installments tofauti yake ipo wapi?
 
Serikali kupitia BOT wana haki ya kupongezwa maana wao walishusha risk free zote mpaka 9% ambayo inaruhusu bank kukopa kwa cost ndogo na wao kukopesha wananchi kwa cost ndogo.

Hata inter-banking rate nazo zimeshuka yote ni intervention ya serikali, katika hili usipoigusa serikali unakwama ki mtazamo na uelewa
 
Well said
 
Una hulka za kichawi, hakika nakwambia kwa tabia hii uliyonayo ya kutokuwa na appreciation hakika utakufa Maskini. Una wivu sana Dada kama hujaolewa sahau hilo dadangu maaana si kwa gubu hilo.
Gubu laake ni lipi na haliyakua kaelezea vizuri! Tatizo lenu nyie ni kutaka kusifia hata pasipostahili
 
Ni kweli usemacho. Lkn Hilo haliwezekani. Mkataba wako wa awali na benk utabaki Kama ulivyo. Jiulize je wangepandisha riba na ww ulikopa mwaka Jana hiyo riba ungekubali?
Dah! Akikujibu nitag.
 
Uki top-up mkopo ni riba iba inatumika ya mwanzo au ya sasa?
Ya sasa hivi. Na hio ndio sababu kubwa iliopelekea benki nyingi kushusha riba na kuongeza muda kutoka miaka 6 hadi 7 kwa mikopo ya watumishi maana mwaka huu hakujakuwepo salary increment, so ili benki zisiyumbe ni bora washushe riba na kuongeza muda ili uki top up ubaki na kitu.
 
Chief punguza chuki na ukada uliopitiliza. Una mkopo wa benki wewe? Maana pengine ungeona cha kujadili kuliko hizo hadithi zenu za kudumu ambazo tungo hubadilika kulingana na aliye madarakani!
Tatizo Mr@Mtazamo umekosea pale tu hoja yaako ulipoihisisha na usiasa haliyakua hili suala ni serias case ambapo ni economic factor
 
Kuunga mkono juhudi za "Mheshimiwa" Rais. We have become slaves in our own country. The man is simply killing the economy. And yet, some people do find words to applaud him.
Banks are simply devising surviving strategies.
Big thanks.
 
Hajui lolote huyo, riba bafo ni kubwa sana, nadhani tatizo la Wabongo wengi ni exposure hamjui duniani bank za wenzetu zinatowa vipi huduma hasa riba zao.

Islamic bank wameonesha mfano hai ni vitu vinawezekana kukopesha bila kutoza riba mzigo.
Hawajui hawa nchi kama Misri riba ni 4%-3%
 
Mimi nashauri JF waweke sticky thread maalum kwa ajili ya pongezi kwa Magufuli ili wapenda kupongeza muwe mnajimwaga huko 24 hours kupongeza.

Ni upuuzi kudhani kila mtu ana akili ndogo kama yako.

View attachment 777212
Jenga heshima ya kuheshimu maoni ya wenzako.
Mtu akiwa na mtizamo tofauti sio kwamba ana akili ndogo.
Kwa mizania hiyo hata yeye ana haki ya kusema una akili ndogo.
 
Certainly Kenya sio benchmark. However, we can learn a thing or two.
 
Fanya analysis Islamic Banking PBZ acha porojo au even Amana bank
Wanachukua hisa so mnagawana faida na huwa wanafaidika sana tu km riba, unaposema hutozi kitu nikm unakopa milion 10 unarudisha milion 10 bila kuongeza hata 100 ila hamna benki isiyofaidika na mkopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…