Swali langu ni lile mbona hawaisaidii serikali kulipa malimbikizo ya wafanyakazi toka kwenye hiyo faida yao?NMB on the other hand hawajaongeza faida yoyote na ni ya serikali, je hapo imekaaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali langu ni lile mbona hawaisaidii serikali kulipa malimbikizo ya wafanyakazi toka kwenye hiyo faida yao?NMB on the other hand hawajaongeza faida yoyote na ni ya serikali, je hapo imekaaje
Mkuu number of year na number of installments tofauti yake ipo wapi?Loan interest calculation – Reducing Balance vs Flat Interest Rate
Here is my litle contribution, kuwa elimisha wa Tanzania wenzangu japo kwa kifupi: Ila nitatumia kingereza:
When it comes to comparing loans, the stated loan interest rate does not represent everything, and can in fact be deceiving. Aside from loan interest rates, how loan interest is calculated also plays a huge role in your cost of financing.
There are 2 common methods to calculate loan interest in today’s banking system:
Reducing balance method
Flat/Straight line interest rate method (a.k.a Simple Interest)
Reducing Balance Method
This method is mainly used to calculate the interest payable for housing / mortgage / property loans which you can find at ourhome loan comparison tool and other interest payable such as overdraft (OD) facilities, andcredit cards. You only pay interest on the remaining loan balance. A reducing balance interest calculation formula can be represented like this:
Interest Payable per Installment = Interest Rate per Installment * Remaining Loan Amount
The interest rates quoted for such loans are the Effective Interest Rate, which is the same as the interest rates used for Fixed Deposits (FD) and Savings Accounts.
Flat Interest Rate Method a.k.a Simple Interest
This method is mainly used to calculate the interest payable forpersonal loans and car / hire purchase loans. You pay interest on the entire loan balance throughout the duration of the loan. Flat interest rate calculation formula can be represented like this:
Interest Payable per Installment = (Original Loan Amount * No. of Years * Interest Rate p.a. ) / Number of Installments
This is less desirable for the borrower, because even as you pay down the loan, the interest payable does not decrease. If you have difficulty understanding why, consider what would happen if savings accounts used flat interest rate method.
If you put Tsh.1,200 at 10% p.a. in a savings account and withdraw Tsh.100 every month, the bank would still be paying you Tsh.10 in interest every month even though your principal balance would have reduced to only Tsh.100 by Month 12. How cool is that?
As a rule, flat interest rates range from 1.7-1.9x more when converted into the Effective Interest Rate equivalent. That is the true measure of your cost of financing. You can calculate it yourself, or you can use this Flat to Effective Interest Rate Converter that we've provided for your convenience. Once you've calculated that, you might be intereted in reading our article on Top Tips On How To Pay Back Your Personal Loan to learn the various ways in which you can repay your debt!
Conclusion
When considering a loan product, it is always important to know if it is using the Reducing Balance Method of interest calculation or Flat Interest Rate method. And the best way to compare the true cost of the loan is to convert everything into the Effective Interest Rate equivalent.
Usiki mwema ndugu zangu.
Humuwezi pata maana tayari mkataba wako hauko hivyo labda uuze mkopo kwa bank nyingineSisi ambao tumekopa tayari, tutapata nafuu ya moja kwa moja (direct impact)?
Well saidSerikali kupitia BOT wana haki ya kupongezwa maana wao walishusha risk free zote mpaka 9% ambayo inaruhusu bank kukopa kwa cost ndogo na wao kukopesha wananchi kwa cost ndogo.
Hata inter-banking rate nazo zimeshuka yote ni intervention ya serikali, katika hili usipoigusa serikali unakwama ki mtazamo na uelewa
Gubu laake ni lipi na haliyakua kaelezea vizuri! Tatizo lenu nyie ni kutaka kusifia hata pasipostahiliUna hulka za kichawi, hakika nakwambia kwa tabia hii uliyonayo ya kutokuwa na appreciation hakika utakufa Maskini. Una wivu sana Dada kama hujaolewa sahau hilo dadangu maaana si kwa gubu hilo.
Dah! Akikujibu nitag.Ni kweli usemacho. Lkn Hilo haliwezekani. Mkataba wako wa awali na benk utabaki Kama ulivyo. Jiulize je wangepandisha riba na ww ulikopa mwaka Jana hiyo riba ungekubali?
Ya sasa hivi. Na hio ndio sababu kubwa iliopelekea benki nyingi kushusha riba na kuongeza muda kutoka miaka 6 hadi 7 kwa mikopo ya watumishi maana mwaka huu hakujakuwepo salary increment, so ili benki zisiyumbe ni bora washushe riba na kuongeza muda ili uki top up ubaki na kitu.Uki top-up mkopo ni riba iba inatumika ya mwanzo au ya sasa?
Tatizo Mr@Mtazamo umekosea pale tu hoja yaako ulipoihisisha na usiasa haliyakua hili suala ni serias case ambapo ni economic factorChief punguza chuki na ukada uliopitiliza. Una mkopo wa benki wewe? Maana pengine ungeona cha kujadili kuliko hizo hadithi zenu za kudumu ambazo tungo hubadilika kulingana na aliye madarakani!
Big thanks.Kuunga mkono juhudi za "Mheshimiwa" Rais. We have become slaves in our own country. The man is simply killing the economy. And yet, some people do find words to applaud him.
Banks are simply devising surviving strategies.
Ila sidhani kama wengi watakuelewa, nchi zote zilizoendelea benki zao hazitozi RIBA kama hizi TZ! Benki za hapa nchini hazina tofauti na "Loan Sharking Companies" NMB Tanzania Crdb NBC azania @TWIGABANCORPCRDB yapunguza riba, yaongeza muda wa marejesho
Riba ya 17% bado ni ya juu mno! Na kuongeza muda monthly payments will be lower but at end you pay more interest amount.
Hawajui hawa nchi kama Misri riba ni 4%-3%Hajui lolote huyo, riba bafo ni kubwa sana, nadhani tatizo la Wabongo wengi ni exposure hamjui duniani bank za wenzetu zinatowa vipi huduma hasa riba zao.
Islamic bank wameonesha mfano hai ni vitu vinawezekana kukopesha bila kutoza riba mzigo.
Fanya analysis Islamic Banking PBZ acha porojo au even Amana bankMkuu hakuna bank ambayo haitozi riba,wanabadilisha jina tu
Jenga heshima ya kuheshimu maoni ya wenzako.Mimi nashauri JF waweke sticky thread maalum kwa ajili ya pongezi kwa Magufuli ili wapenda kupongeza muwe mnajimwaga huko 24 hours kupongeza.
Ni upuuzi kudhani kila mtu ana akili ndogo kama yako.
View attachment 777212
Usisahau kuweka insurances!Hiyo Kitu hatari sana...! Hiyo ni 17%, bado commission fee,...na vurugu nyingine...ukija kupiga majumuisho ela utakayo lipa ni karibu asilimia 51.5.
Certainly Kenya sio benchmark. However, we can learn a thing or two.Kenyan sio benchmark, labda tuanzie rwanda palee uchumi haukui fasta fasta nadhan hata wamagharibi walianza kujifunga mkanda na kuchukua watumwa wakaijenge nchi yao, so nadhani kwa upeo wangu ngoja tuone haya maujenzi yanayofanyika yatanufaisha maana sidhan km barabara ya hapa hadi egypt ile haina tija
Hahahaaa aisee, hizo nchi zisizotoza riba zinaitwaje vilee, maana labda zipo sayari ya MarsIla sidhani kama wengi watakuelewa, nchi zote zilizoendelea benki zao hazitozi RIBA kama hizi TZ! Benki za hapa nchini hazina tofauti na "Loan Sharking Companies" NMB Tanzania Crdb NBC azania @TWIGABANCORP
Wanachukua hisa so mnagawana faida na huwa wanafaidika sana tu km riba, unaposema hutozi kitu nikm unakopa milion 10 unarudisha milion 10 bila kuongeza hata 100 ila hamna benki isiyofaidika na mkopoFanya analysis Islamic Banking PBZ acha porojo au even Amana bank