Nisingependa tuharibu mahusiano yetu Mazuri, nasema hivi sijawahi kupata Maji yenu kwa zaidi hata tone. Wallah mkiniletea bill hata ya buku Tano tu mtaniona mkorofi. Niko Wilaya ya Kinondoni, Mabibo Mwisho.
Nitaondoka na nanihii za mtu, Ile September tulipata Maji kwa mbinde sana halafu wakaniletea bili ya 25,000 yaani wamepunguza kama buku mbili tu Maana huwa nalipa 28,000 Hadi 32,000 hapo
Nisingependa tuharibu mahusiano yetu Mazuri, nasema hivi sijawahi kupata Maji yenu kwa zaidi hata tone....Wallah mkiniletea bill hata ya buku Tano tu mtaniona mkorofi. Niko Wilaya ya Kinondoni, Mabibo Mwisho.