Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto



Kwahjo hao wanywaji unavyoona hawaagizi kama walivyo na hao mademu wanaohama sehem classic wanaenda temeke wewe roho yako kwatuuuu!!jichunguze sehem..!sio sawa
 
Well said mkuu, shida za watu wote huwez zimaliza. Vijijini skuiz wengi Wana umeme lakin hawasemi. Elimu bure hawasemi, idadi ya hospital mpya imeongezeka hawasemi,..huku kwetu tulikuwa hatuna maji kabsa tumeletewa tena kwa punguzo...labda hayo yote ni maendeleo ya vitu nadhani...but kwangu Mim na Amin maendeleo ya vitu huleta maendeleo ya watu. Unajenga SGR ili watu wapate urahis na unafuu wa kusafiri. Hao wanao beza saiz ndio wale wale walio msumbua Mzee Jk awamu iliyopita, kwamba eti hajafanya chochote. Leo wanampongeza kwa demokrasia na unafuu wa maisha (hawakusema hayo pindi alikokuwa madarakani).........

LEO AKIONDOKA UNCLE MAGU NDIO TUTAJUA UMUHIMU WA HAYA ANAYO YA FANYA
 
Duh umechemsha mkuu sio Tsh Million 16 ni $ million 16 hahahaha
 
Uko sahihi sana...
 
Nadhani ndio mara ya kwanza kuona, ndio maana unakimbilia humu eti kutufundisha. Aibu yako pole sana.
 
Tukifikisha idadi ya ndege sawa na Ethiopia, watu wataota magaga ya kwenda Airport kupokea ndege.

Wakati wa Kambarage, ATC ikifikisha ndege 14. Mwenye picha "toka maktaba" Mwl akipokea ndege japo moja tu, atusaidie.
Kwa hiyo unataka kutuambia Nini hapa..tueleze mawazo yako
 
Wewe utakuwa wa kuletwa wewe sio wa kuja sehemu ya kwanza kufika Dar ni Airport kwenda kuangalia ndege linavyopokelewa na kutuletea taarifa humu asiyejua nani maana hii si ya kwanza kufanyiwa hivyo kuna aliyeauliza? [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ni wazi wewe ndo umezaliwa na njaa njaa na shida huko kwenu. Si bure hata shule umesomeshwa kwa pesa za mapipa ya pombe. Otherwise usingekerwa na anayesema yeye juhudi zake zimesaidia uwepo wa hizo ndege. Kauli isiyo pingika
Hivi anajua baba wa taifa hili alituletea ndege ngapi na hakuwa na maneno ya kishamba?MTU ambaye amekulia kwenye umasikini,njaa,migogoro ya kifamilia na mwenye inferiority complex anachekesha sana.Damn dumb!
 
MSIOGOPE SANA NIMEOMBWA KUWEKA MF..N KAMA HUUU HAKUNA NDEGE INAYOINGUA HAPO N SALUTE TI MSITUAIBISHE KUKIMBIA AIRPORTView attachment 1245192View attachment 1245193View attachment 1245194View attachment 1245195View attachment 1245196
 
Ni kweli ni story lakini zipo kwa ajili ya kujifunza jambo

Huwezi kuwa na mtu kutwa kucha anajisifia yeye tu na kuwaponda wengine kana kwamba nchi ilikuwa jangwa sasa ameifanya green!

Miradi yoyote mikubwa huenda hatua kwa hatua, karibu miradi yote inayotekelezwa sasa hivi ameikuta kwenye process sema kwa vile Tz vichwa maji ni wengi ndiomaana wapiga makofi wanakuwa wengi pia

Uliona wapi pesa za miradi mikubwa kama hospital zinaombwa kwa maneno matupu hadharani? Inamaana vichwa maji wapumbazwe kwamba ni wazo la mtu.

Waswahili husema ukiona mtu anajisifu sifu hadharani kila mara ujue anatafuta namna ya kuficha madhaifu aliyonayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…