Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Akili yako inakuambia ni ndege za Magufuli? We kweli kiazi! Kama zingekuwa za Magufuli watu wangezipigia kelele?Magufuli Mzalendo wa ukweli Tanzania
Kuna wabwekaji humu mtandaoni wanamtukana Magufuli Ila wanatumia ndege za Magufuli kwenda kwao
Ndege watu hawana shida nazo shida ni kipaumbele. Wewe unadhani wananchi wangapi wanapoteza maisha kutokana na maji machafu kisima kama hicho?