Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

Kwahiyo unaona bora upande mali ya mabeberu kuliko mali ya Tanzania?
Fast jet tulipanda kwa nauli zetu na hakukuwa na siasa chafu. Hizi ATCL tunapanda kaa nauli zetu na bado mnatuletea gutter politics.
 
Huyu ni jembe wa upinzani ila hajui indirect benefits za airline.
Mzee karume sijui alikosea wapi. Angetumia mpira tu.
mjomba,ukiiwekeza 600b kwenye miundo mbinu ya umwagiliaji vijana hawatolia ajira na hazina kutanonana,sasa hiyo ni moja tu,je mabilioni ya ndege zote 11!?..return on capital na return on investment kwenye kilimo ni bora mara elfu moja kuliko kununua hayo mapipa
 
Ukumbuke kuwa Germany urusi China na uingereza walifanya maendeleo ya vitu mpaka Sasa NI mataifa makubwa na baadhi ya wananchi ni masikini lakini marekani ilienda na vitu vyote vitu/na watu ilishindwa ikaamua kuendeleza vitu kwa hiyo hata haya yanayofanyika siyo yakubeza
haitakiwi kuiga,fanya mambo kwa fikra na mazingira yako,suala la msingi ni watu wawe na uhakika wa kula,kutibiwa afya ikileta mgogoro,na malazi
 
U
Ukumbuke kuwa Germany urusi China na uingereza walifanya maendeleo ya vitu mpaka Sasa NI mataifa makubwa na baadhi ya wananchi ni masikini lakini marekani ilienda na vitu vyote vitu/na watu ilishindwa ikaamua kuendeleza vitu kwa hiyo hata haya yanayofanyika siyo yakubeza
Uingereza Kuna shida ya maji? Umeme? barabara?
 
House girl nliye nae ni mzito sana ,humu ndani kuna mtu mwenye dada wa kazi aliemshapu sana amsaidiee huyu dada kutengeneza juice tamu ya matunda iwe zawadi kwa mh rais..!!!! nampenda sana rais wangu.
 
Rais Magufuli ameyasema hayo muda mfupi uliopita wakati akipokea ndege mpya ya ATC.

Mada hii nimeiweka hapa ili iwe na mjadala tofauti na tukio la kupokea ndege. Yesu Kristu aliwahi kuwajibu waliokuwa wakimbeza kuwa "Ufalme ukifitinika hausimami" Binafsi nahisi hapa Rais hajatumia busara.

Ifike wakati sasa hao wanaosemwa kila kukicha wamjibu kwani wote walitawala kupitia chama chao hicho hicho. Kuendelea kukaa kimya huku wakisemwa kila uchwao ni dalili kuwa walikuwa viongozi wasiowajibika na hawastahili heshima.
 
Tatizo anahisi waliopita wanamfitini au huwa anasikiliza maongezi yao wakimponda.
Kuongea yeye anatuma ujumbe kwa JK
 
Back
Top Bottom