Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

Magufuli Mzalendo wa ukweli Tanzania

Kuna wabwekaji humu mtandaoni wanamtukana Magufuli Ila wanatumia ndege za Magufuli kwenda kwao
Akili yako inakuambia ni ndege za Magufuli? We kweli kiazi! Kama zingekuwa za Magufuli watu wangezipigia kelele?
Ndege watu hawana shida nazo shida ni kipaumbele. Wewe unadhani wananchi wangapi wanapoteza maisha kutokana na maji machafu kisima kama hicho?
 
Rais Dkt. John Pombe Magufuli aongoza Watanzania katika mapokezi ya ndege mpya boeing 787-8 dreamliner ya Air Tanzania (karibu nyumbani).

Niulize je?hivi hizi sherehe za kupokea madege huwa hazitumii mahela?
Huyu jamaa alisitisha shughuri za mashujaa lakini kwenye ishu kama hizi za kutafuta misifa!!! Hajambo
 
Kile kiwanda chenu cha kupika majungu na upotoshaji kimebaki uchi sasa,tupu zenu zipo nje

Mtaendelea kunyooshwa
 
Airline ina benefits gani? Mshamba sana wewe, unafananisha ndege na maji, hao unaona wana ndege masuala madogo madogo wameshayapita.
Tatizo lako nî kubwa zaidi udhaniavyo. Mwenye akili akisoma komenti yako anajua tatizo lilipo.
 
Hivi air hostess wa Tz wamrfundishwa wawe wana-poze huku wamenyonga mikono ??
 
Ukumbuke kuwa Germany urusi China na uingereza walifanya maendeleo ya vitu mpaka Sasa NI mataifa makubwa na baadhi ya wananchi ni masikini lakini marekani ilienda na vitu vyote vitu/na watu ilishindwa ikaamua kuendeleza vitu kwa hiyo hata haya yanayofanyika siyo yakubeza
 
Uongozi mpya utakapo ingia madarakani tutasikia hasara zilizosababishwa na hizi ndege. Wa South Africa kila kukicha serikali ina bailout shirika lao la ndege na hapo ndege zingine sio zao wamekodishwa, hii biashara ni ya mabeberu na ndo maana nchi nyingi zinakula hasara.
 
Magufuli Mzalendo wa ukweli Tanzania

Kuna wabwekaji humu mtandaoni wanamtukana Magufuli Ila wanatumia ndege za Magufuli kwenda kwao

Wanaenda bure au ni nauli zao? Fastjet ingekuwepo watu wangepanda hizo.
 
Bila shaka ikawa route ya Guangzhou uwanja wenye abiria mil 69 kwa mwaka na kama ni Gatwick Airport UK in airport ya pili kwa ubize UK ikiwa na uwezo wa kupitisha abiria zaidi ya mil 45 kwa mwaka.

Ni fursa ya kupeleka walau korosho au any Product made in Tanzania kwenye supermarkets za airports husika na mji wa London na Guangzhou..


Big up JPM
Hii itakua Guangzhou - Dar ila ATCL wanaweka wabadilike maana wanaweka nauli ndogo ila mizigo wanachaji hela za kufa mtu
 
Kumbe hivi ndivyo mnavyo mdanganya jiwe!!!!
 
Balozi wa mabeberu nae alikuwepo kuunga mkono kazi ya ngosha.

Essentially kwa mabeberu ununuzi wa ndege ni +kwao.
Maana wamevuna forex na kuongeza ajira kwao.

Bila shaka waziri Mpango na Waziri Bashungwa na Waziri Kaieuki wataona umuhimu wa collaboration ya PPP.

Ifikie siku na sie tuone mabalozi wetu wanakuwa sehemu ya delegation kwenye investment toka Tz.

Kudos JPM
 
Tukifikisha idadi ya ndege sawa na Ethiopia, watu wataota magaga ya kwenda Airport kupokea ndege.

Wakati wa Kambarage, ATC ikifikisha ndege 14. Mwenye picha "toka maktaba" Mwl akipokea ndege japo moja tu, atusaidie.
KQ Wana ndege tatu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…