Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

Let's face the fact, hakuna mtu atakayekubalika na wote. He's doing well kwa mtazamo wa baadhi, na anafeli kwa mtazamo wa wengine.
 
Kila kona ya nchi..
Wee ulikuwa kona gani ukajua kuwa kona ingine wengine wanafurahia
 
Balance shobo....
jiamini mtoto wa kike
 
Wewe uliekulia kwenye utajiri una nini cha maana Ukiondoa kubweka mtandaoni
Hivi anajua baba wa taifa hili alituletea ndege ngapi na hakuwa na maneno ya kishamba?MTU ambaye amekulia kwenye umasikini,njaa,migogoro ya kifamilia na mwenye inferiority complex anachekesha sana.Damn dumb!
 
Historia ya 2010 ndio mnaleta humu, majungu tu haya.
 
Kwahiyo mkuu wewe umechukia ujio wa hiyo ndege au umefurahi?au ulikuwa unapenda tuendelee kuwa hatuna ndege zetu?au ulikuwa unapendelea yale maisha ya wachache tu wajilimbikizie mali wengine tutaabike...
 
Huyu ni jembe wa upinzani ila hajui indirect benefits za airline.
Mzee karume sijui alikosea wapi. Angetumia mpira tu.
Wewe ndio hujui faida katika maendeleo zinazoletwa na miradi midogo midogo. Kasome maandishi ya mke na mme waliopata Nobel Prize ya economics mwezi huu huu wa Oktoba.
 
Sijawahi kuisoma nadharia hii mahali popote. Inabidi nikupongeze kwa kuibuni hata kama ninajua hujui ulichokiandika hapa.
 
Ni vitu vya hovyo Sana kuleta ndege huku watu wakifa kwa miundombinu mibovu, hospitali mbovu, maji Safi Hakuna, Ni upuuzi na ulimbukeni kujivunia maendeleo ya vitu badala ya maendeleo ya watu!!
Leo wanapokea ndege Ila huko tanga vilio watu 8 wafariki kwa ajali daraja kuharibika!!!?
 

Hiyo hili ilikuwa ni taarifa ya CAG kwa mwaka 2018 na ilitolewa mwezi wa 4 mwaka 2019. humo ametaja mashirika ambayo yalikuwa yanajiendesha kihasara. Moja ya mashirika hayo ni ATCL. Baada ya hapo mkaona ili madudu yasiendelee kuonekana kwa miaka inayokuja bora muhamishie ATCL kwenye Ofisi ya Raisi ili CAG asiweze kukagua, mpike data muwalishe watu kuwa mnatengeneza faida.

Halafu sasa hivi wewe unakuja hapa unasema eti mwaka jana ATCL iliingiza profit ya $14m. Kawadanganye wajinga wenzio.
$14m kutoka mtaji wa $1bn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…