Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juzi nimetoka Dar sijaoga nikaenda oga mwanza, maji kimara yote ile haina wiki ya pili sasa.
Ujio wa Ndege nyingine leo umezidi kumpa kete Rais Magufuli kwenye uchaguzi ujao na zaidi Wananchi kujenga matumaini makubwa kwenye ngwe yake ya pili
Kila kona ya Nchi sasa hivi imekuwa gumzo kwa jinsi Rais Magufuli kwa jinsi anavyorudisha Taifa kwenye mstari
Kama Rais Donald Trump wa Marekani anamkubali Rais Magufuli kwa jinsi anavyofanya mambo makubwa Nchini sie ni nani mpaka tumpinge?
Week ya jana nilikuwa Mtwara,Lindi,Arusha,Kilimanjaro,Dodoma,Morogoro na Tanga huko kote wananchi wanasema Rais Magufuli apewa muda zaidi wa kuendesha Nchi
#JPM KIOO TUELEKEACHO
Alex Fredrick
Balance shobo....Uongozi mpya utakapo ingia madarakani tutasikia hasara zilizosababishwa na hizi ndege. Wa South Africa kila kukicha serikali ina bailout shirika lao la ndege na hapo ndege zingine sio zao wamekodishwa, hii biashara ni ya mabeberu na ndo maana nchi nyingi zinakula hasara.
Hivi hawa wanajua kama nao ni sehemu ya biashara? Nani aliwachagua?
Hivi anajua baba wa taifa hili alituletea ndege ngapi na hakuwa na maneno ya kishamba?MTU ambaye amekulia kwenye umasikini,njaa,migogoro ya kifamilia na mwenye inferiority complex anachekesha sana.Damn dumb!
Either of the two.Victoire is it "impossible is nothing" or "nothing is impossible!" Nadhani ni "nothing is impossible!"
$14m kutoka mtaji wa $1bnATCL imeingiza sh. ngapi kwa mwaka jana?
Kwahiyo mkuu wewe umechukia ujio wa hiyo ndege au umefurahi?au ulikuwa unapenda tuendelee kuwa hatuna ndege zetu?au ulikuwa unapendelea yale maisha ya wachache tu wajilimbikizie mali wengine tutaabike...Vifua mbele vya wapi mkuu?Watu hawana furaha hela hakuna.Maisha magumu.Wakilalamika wanaambiwa walikuwa wapiga dili au wavivu.Na zaidi wanaambiwa wahame nchi utadhani wakati wanaomba uongozi ahadi ilikuwa ni kuwatengenezea Watanzania mazingira magumu ya kuishi kishetani/living hell!
Wewe ndio hujui faida katika maendeleo zinazoletwa na miradi midogo midogo. Kasome maandishi ya mke na mme waliopata Nobel Prize ya economics mwezi huu huu wa Oktoba.Huyu ni jembe wa upinzani ila hajui indirect benefits za airline.
Mzee karume sijui alikosea wapi. Angetumia mpira tu.
$14m kutoka mtaji wa $1bn
Bunge limechelewesha sana maendeleo ya nchi hii!Hivi kuna haja gani ya kuwa na vikao vya bunge wakati pesa na miradi ya maendeleo inapangwa na kutolewa na rais?
Sijawahi kuisoma nadharia hii mahali popote. Inabidi nikupongeze kwa kuibuni hata kama ninajua hujui ulichokiandika hapa.Ukumbuke kuwa Germany urusi China na uingereza walifanya maendeleo ya vitu mpaka Sasa NI mataifa makubwa na baadhi ya wananchi ni masikini lakini marekani ilienda na vitu vyote vitu/na watu ilishindwa ikaamua kuendeleza vitu kwa hiyo hata haya yanayofanyika siyo yakubeza
Walikuwa hawana uhakika na Afya ya mzalendo namba moja! Walivyoona inatengamaa wakairuhusu ndege ije!Mbona jamaa aliyesema ndege itatua ikasemwa muongo akamatwe mbona kweli imefika ?
$14m kutoka mtaji wa $1bn
Na bado atakamatwa na kuteswa mpaka wenzake wamuonee huruma.Mbona jamaa aliyesema ndege itatua ikasemwa muongo akamatwe mbona kweli imefika ?
Juzi nimetoka Dar sijaoga nikaenda oga mwanza, maji kimara yote ile haina wiki ya pili sasa.