Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

Hapo sawa tunaenda pamoja, maana post #110 umeuliza kwa mshangao ATCL imeingiza sh. ngapi kwa mwaka jana?
nikakujibu eti ndege 7 mtaji wa Bilioni 1 (1,000,000,000) USD mpaka hotuba hii wameweka milioni 14 (14,000,000)USD
nikakushia na uthibitisho kuwa sio mm, hii km ni biashara ni ya nyanya kuoza, kuna ushahidi kuna safari tupu wanafanya
stay tuned hatumalizi mwaka hapahapa JF tutangalia margin Loss (not Profit) tena taarifa ya mkaguzi
 
Hivi anajua baba wa taifa hili alituletea ndege ngapi na hakuwa na maneno ya kishamba?MTU ambaye amekulia kwenye umasikini,njaa,migogoro ya kifamilia na mwenye inferiority complex anachekesha sana.Damn dumb!
Usiwe personal. Acha kufuatilia mambo ya kifamilia wewe mwenyewe kwenu mkoje? kila familia ina yake nayo humalizwa kinyumbani.
Haya unayoyaleta hapa hayahusiani kabisa na Dream Liner B787-8
 
Usiwe personal. Acha kufuatilia mambo ya kifamilia wewe mwenyewe kwenu mkoje? kila familia ina yake nayo humalizwa kinyumbani.
Haya unayoyaleta hapa hayahusiani kabisa na Dream Liner B787-8
kuna kaukweli jamaa yangu umesema, kauli nyingine chungu zitatuletea kimbembe, kilema cha mtu si vizuri mSinitukane hii itakuwa Man-to-Man
 
chuma
 
Tukifikisha idadi ya ndege sawa na Ethiopia, watu wataota magaga ya kwenda Airport kupokea ndege.

Wakati wa Kambarage, ATC ikifikisha ndege 14. Mwenye picha "toka maktaba" Mwl akipokea ndege japo moja tu, atusaidie.
Ethiopia wana ndege nyingi lakini watu wake ni maskini na kila siku wanaikimbia nchi yao Kwa usafiri wa malori na kuziacha ndege nchini mwao!! Ubora wa maisha si kuwa na ndege tu!!!! Hebu fikiri waethiopia wanaona ni bora kuwa wakimbizi kuliko kubaki nchini mwao pamoja na kuwa wana ndege lukuki!!!
 
Kila siku wanafia au kukamatwa kwenye Makontena hapa TZ ndege zinaruka na wageni, hizi hesabu kuzichanga au kuanzisha biashara inataka...
 
Watu wanaopositi vijineno vya kijinga et tutakula ndege wanaoyesha ni vilaza na wanatuaibisha watanzania inaonesha hata darasani walifeli kabisa
 
Kichwa kazi yake kufikiri na makalio kukalia. Kwanini mnapenda kubadili matumizi?!
 
Watu wanaopositi vijineno vya kijinga et tutakula ndege wanaoyesha ni vilaza na wanatuaibisha watanzania inaonesha hata darasani walifeli kabisa
Mbona kama ulichokiandika hakina uhusiano.

Kila kimoja kinajitegemea.

Tafufa njia nzuri/ mfano mzuri unaouhusianisha mambo then ulete tena content yako.
 
Hivi kuna mfanyakazi mpaka leo haoni sababu ya kwanini baba yake alimpeleka shule tena boarding mbali ambako alikua anakula maharage yenye wadudu na yaliyowekewa mafuta ya taa,kande zinazonuka moshi,unga uliovunda n.k badala ya ile ada ingetumika kutanua nyumbani na kufanya starehe na marafiki mtaani kwenu?
 
Aliita kakikundi ka wahuni wakajifungia kwenye kaukumbi wakaanza kuropoka sawasaw na stori za migahawani utofauti was huyu mhuni na JPM ni kwamba JPM anagusa Masilahi ya Taifa la Marekani then kuwafananusha hawa wat ni kosa kubwa sna ni sawasawa na mbingu na ardhi
 
tuachane na ndege kidogo, tuangalie umuhimu wa kujenga hospital ubungo,... Kuna Tija Gan ya kuongeza vituo vya afya wakati hivo vya mwanzo havina watumishi na vitendanishi vya kutosha… badala ya kuongeza kwa pupa kwanini tusiboreshe vilivyopo kwanza... ni mawazo yangu finyu tu na nnatafuta busara kupitia kila mtu.
 
Kuna yale majangili ya maendeleo yetu yanakooonda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…