Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

Bora mzee angevaa ndomu. Hivi wewe na akili zako timamu eti unakuja na kauli ya mtu kama uthibitisho kwamba shirika fulani linaingiza profit, una akili timamu wewe? Kwanza una miaka mingapi? Mimi nmekuletea ile video ya CAG lakini aliyokuwa anayasoma pale yapo kwenye report yake.
Hapo sawa tunaenda pamoja, maana post #110 umeuliza kwa mshangao ATCL imeingiza sh. ngapi kwa mwaka jana?
nikakujibu eti ndege 7 mtaji wa Bilioni 1 (1,000,000,000) USD mpaka hotuba hii wameweka milioni 14 (14,000,000)USD
nikakushia na uthibitisho kuwa sio mm, hii km ni biashara ni ya nyanya kuoza, kuna ushahidi kuna safari tupu wanafanya
stay tuned hatumalizi mwaka hapahapa JF tutangalia margin Loss (not Profit) tena taarifa ya mkaguzi
 
Hivi anajua baba wa taifa hili alituletea ndege ngapi na hakuwa na maneno ya kishamba?MTU ambaye amekulia kwenye umasikini,njaa,migogoro ya kifamilia na mwenye inferiority complex anachekesha sana.Damn dumb!
Usiwe personal. Acha kufuatilia mambo ya kifamilia wewe mwenyewe kwenu mkoje? kila familia ina yake nayo humalizwa kinyumbani.
Haya unayoyaleta hapa hayahusiani kabisa na Dream Liner B787-8
 
Usiwe personal. Acha kufuatilia mambo ya kifamilia wewe mwenyewe kwenu mkoje? kila familia ina yake nayo humalizwa kinyumbani.
Haya unayoyaleta hapa hayahusiani kabisa na Dream Liner B787-8
kuna kaukweli jamaa yangu umesema, kauli nyingine chungu zitatuletea kimbembe, kilema cha mtu si vizuri mSinitukane hii itakuwa Man-to-Man
 
Yaliyojiri katika hafla hiyo ya mapokezi ya ndege hii

Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda: Wabunge wa Majimbo ya Kawe, Kibamba na Ubungo ni wezi wanaokula posho bungeni bila kufanya kazi kwa wananchi. Asema mwaka 2015 walifanya makosa kuruhusu watu hawa kuwa wabunge

Wilaya ya Ubungo ina wabunge wawili na ina Meya wa Upinzani; nakuomba Mhe. Rais unisaidie niwajengee Hosp ya Wilaya wana Ubungo

Naye, Kaimu Balozi wa Marekani: Dkt. Inmi Patterson, akitumia lugha ya Kiswahili amewapongeza Watanzania na Shirika la ATCL kwa kununua ndege mpya ya pili aina ya Boeing B787-8. Asema, kukua kwa safari za anga kutakuza biashara na utalii

View attachment 1245577
View attachment 1245576
View attachment 1245578


Ufuatao ni mtiririko wa hotuba fupi ya Rais Magufuli

RAIS MAGUFULI: Naambiwa hapa kuna Mabalozi na Wawakilishi zaidi ya 30. Waswahili wanasema ukitaka kwenda safari ndefu lazima uanze na fupi. Tulipoanza kufufua ATCL kwa kununua Bomberdier wengi walikejeli na wangine walidhani `tunabeep’. Ndege 7 tulizonunua zimewasili

Ndege nyingine 4 tulizonunua zitawasili kwa nyakati tofauti (Bombadier na Airbus). Ndege hizi zimeshushwa hapa na Watanzania, hadi Marekani inajulikana kuwa Watanzania wanafedha. Tembeeni kufua mbele

> Hii inamaanisha Tanzania inaweza na Afrika inaweza

Najisikia raha kuwa Mwenyekiti wa CCM, nashangaa tumewezaje. Tumshukuru Mungu. Kwanini Mandege haya hayakuja miaka ya nyuma? Makonda umeomba Bil. 1.5 kujenga Hospitali Ubungo, nitazitoa. Waziri wa TAMISEMI tafuta fedha na Hospitali ianze kujengwa Ubungo

Shukrani hizi zimuendee Mungu na Watanzania wote bila kujali Dini na Vyama vyao. Watanzania wamenunua ndege hizi kwa fedha za kodi zao, mpaka madudu haya yamekuja

> Wameondoka kule Seattle Marekani jana saa 3 usiku na kituo cha kwanza ni Tanzania

Hizi ndege zimenunuliwa kwa fedha za Serikali na sio ATCL, ninyi ATCL tumewaazima mfanye biashara. Waziri ameniambia hadi sasa wamekusanya kiasi cha dola milioni 14, nitakwenda kuzicheki kesho. Nawapongeza ATCL

> ATCL wamepata cheti cha Ubora wa Huduma

Idadi ya wasafiri wa anga imeongezeka, nilikuwa Mpanda na wananchi waliomba ndege zianze kwenda, nimeambiwa safari zimeanza leo na ndege inaenda imejaa na inarudi imejaa

> Baadhi ya maofisa wa ATCL wanalugha mbaya na nisingependa kusikia malalamiko tena

Tuendelee kujiamini na kutangaza mazuri ya Taifa letu. Tuongeze juhudi za kuchapa kazi na kulipa kodi

> Sipendi kuwapotezea muda, leo ni siku ya sherehe na sio siku ya hotuba

> Niko tayari kuzindua ndege hii yenye jina la Rubondo
chuma
 
Tukifikisha idadi ya ndege sawa na Ethiopia, watu wataota magaga ya kwenda Airport kupokea ndege.

Wakati wa Kambarage, ATC ikifikisha ndege 14. Mwenye picha "toka maktaba" Mwl akipokea ndege japo moja tu, atusaidie.
Ethiopia wana ndege nyingi lakini watu wake ni maskini na kila siku wanaikimbia nchi yao Kwa usafiri wa malori na kuziacha ndege nchini mwao!! Ubora wa maisha si kuwa na ndege tu!!!! Hebu fikiri waethiopia wanaona ni bora kuwa wakimbizi kuliko kubaki nchini mwao pamoja na kuwa wana ndege lukuki!!!
 
Ethiopia wana ndege nyingi lakini watu wake ni maskini na kila siku wanaikimbia nchi yao Kwa usafiri wa malori na kuziacha ndege nchini mwao!! Ubora wa maisha si kuwa na ndege tu!!!! Hebu fikiri waethiopia wanaona ni bora kuwa wakimbizi kuliko kubaki nchini mwao pamoja na kuwa wana ndege lukuki!!!
Kila siku wanafia au kukamatwa kwenye Makontena hapa TZ ndege zinaruka na wageni, hizi hesabu kuzichanga au kuanzisha biashara inataka...
 
Watu wanaopositi vijineno vya kijinga et tutakula ndege wanaoyesha ni vilaza na wanatuaibisha watanzania inaonesha hata darasani walifeli kabisa
 
Kichwa kazi yake kufikiri na makalio kukalia. Kwanini mnapenda kubadili matumizi?!
 
Watu wanaopositi vijineno vya kijinga et tutakula ndege wanaoyesha ni vilaza na wanatuaibisha watanzania inaonesha hata darasani walifeli kabisa
Mbona kama ulichokiandika hakina uhusiano.

Kila kimoja kinajitegemea.

Tafufa njia nzuri/ mfano mzuri unaouhusianisha mambo then ulete tena content yako.
 
Hivi kuna mfanyakazi mpaka leo haoni sababu ya kwanini baba yake alimpeleka shule tena boarding mbali ambako alikua anakula maharage yenye wadudu na yaliyowekewa mafuta ya taa,kande zinazonuka moshi,unga uliovunda n.k badala ya ile ada ingetumika kutanua nyumbani na kufanya starehe na marafiki mtaani kwenu?
 
Aliita kakikundi ka wahuni wakajifungia kwenye kaukumbi wakaanza kuropoka sawasaw na stori za migahawani utofauti was huyu mhuni na JPM ni kwamba JPM anagusa Masilahi ya Taifa la Marekani then kuwafananusha hawa wat ni kosa kubwa sna ni sawasawa na mbingu na ardhi
 
tuachane na ndege kidogo, tuangalie umuhimu wa kujenga hospital ubungo,... Kuna Tija Gan ya kuongeza vituo vya afya wakati hivo vya mwanzo havina watumishi na vitendanishi vya kutosha… badala ya kuongeza kwa pupa kwanini tusiboreshe vilivyopo kwanza... ni mawazo yangu finyu tu na nnatafuta busara kupitia kila mtu.
 
Back
Top Bottom